Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi
Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha...
Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie...
Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana
Kodi -200k
Usafiri-200k
Chakula 200k
Umeme -30k
Maji -30
Matumizi binafsi-200k
Savings 100k
Yaani huyu ni mtu...
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka.
Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe...
Mwalimu aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi kuwa anataka kuwaonesha hatua tatu za hisia za binadamu..
Ya kwanza ikiwa ni sapraizi, ya pili kukereka na ya tatu kughadhibika..
Baada ya...
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000
Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na...
Ijumaa Iliyopita
Nilikuwa Arusha, nikaingia sehemu ya ibada ya Ijumaa kupata neema.
Nilipofika, nikakaribishwa na kukuta madada wazuri sana wakivuta shisha.
Niliumia sana moyoni, nikabaki kimya...
Ujue mara nyingi nimekuwa nikisema humu nimewahi kufuga majini watu wanachukulia kama mzaha. ,au natania ,
Kwanza kabisa lengo langu sio kuwafundisheni huu ushirikina maana mimi mwenyewe...
Watu wetu hawajui kufanya biashara, hawamjali mteja, hawajui kuweka kumbukumbu. Miaka 20 mtu amebaki kuwa machinga. Watu wetu wanapata uzoefu wa kuuza kutoka kwao. Kuwafukuza wachina na wageni...
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo.
Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya...
Jamani habari za Jumapili.
Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇,
Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje...
aslaam,
ikiwa Leo ni siku ya baba duniani,nimeona namimi niiadhimishe siku hii Kwa namna yangu.
nimechukua watoto wangu wote mpaka kijijini Kwa Babu yao(baba yangu Mimi).
nikawauliza mnamuona...
Adui siku zote anajibiwa kwa mambo yake.Hapa wamekufungia forum ila unachotakiwa ndani ya siku 90 hakuna habari yoyote ya CCm inayotakiwa kuwa kwenye uzi kuanzia sasa.
JamiiForums hawa watu...
Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama.
1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni...
Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa...
Mkuu wa Mtandao wa Wateja wa benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda (kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Kopa KiBoss na Wafanyakazi Loan’ ambapo inakuwa benki ya kwanza nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.