Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeamua kujiongeza baada ya tabu ya usafiri Mbezi to Gerezani nimeamua kumvua mtu chuma sasa changamoto ni kubalance moto na gear ndio inanipa shida kesho nataka asubuhi niende eneo la wazi ili...
45 Reactions
158 Replies
5K Views
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati...
21 Reactions
200 Replies
8K Views
Inatia huzuni, mtu unamwambia nikopeshe milioni tano nifund my business, au wekeza 5M kwenye hii business, some day you won't regret anasema kwa sasa sipo vizuri. Hazipiti hata siku mbili anaenda...
4 Reactions
12 Replies
667 Views
Hivi ni kweli vijana wanaogopa kujiunga na jumuiya ndogo ndogo kisa michango?
3 Reactions
19 Replies
655 Views
Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sana😃 saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
3 Reactions
23 Replies
992 Views
Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
3 Reactions
108 Replies
5K Views
MDUDU ANAYETESA SANA WATU
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua TUWASAIDIE
17 Reactions
112 Replies
3K Views
TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE. Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja. 01. Mtu alie...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha...
29 Reactions
87 Replies
5K Views
Huyu member akirusha tu uzi lazima uone bendera hizi 🏳️‍🌈 kwenye comments Shida nini😂😂
4 Reactions
16 Replies
436 Views
Salaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa. Na pili namshukuru kwakutupa hiki kichwa Maxence Melo na kuendelea kukilinda. Napendekeza JF kama...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Huyu jamaa makala yake ni ngono mwanzo mwisho, had post unakuta ya saa mbili saa tatu asubuhi yeye ni sex tu.
6 Reactions
18 Replies
635 Views
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri. Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara. Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha...
37 Reactions
65 Replies
3K Views
NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa wa Songwe Jabir Makame, amewataka wananchi wa mkoa huo na kamati ya Ulinzi na Usalama kuwa macho na kutocheka na yeyote anayehujumu miradi ya Umwagiliaji. Amesema...
1 Reactions
3 Replies
255 Views
Usiombe ndugu yangu uwe na bima Ya Afya, ile Ya NHIF inayoitwa Ya Vifurushi. Itokee ndo Unaumwa halafu unapata huduma hospitali za Serikali mfano Muhimbili. Kitakachokukuta Kuhusu gharama za...
2 Reactions
4 Replies
420 Views
Arusha, 6 Septemba 2025: Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wamezindua rasmi awamu ya pili ya programu ya Learning for Life katika Tawi la NCT Arusha...
1 Reactions
2 Replies
240 Views
Back
Top Bottom