UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21
Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi...
Hili andiko Lina utata mkubwa sana. Sita nukuu maandiko badala yake soma mwanzo sura ya kwanza na sura ya pili zote.
Maandiko yanatuambia baada ya Mungu kumuumba mwanamme (Adamu) badae alisema si...
Isa 58:1 SUV
[1] Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao.
Tarumbeta kilikuwa ni kifaa kilichotumika kutangaza mazuri na...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, kwa mamlaka aliyonayo, chini ya kifungu cha 3(1) cha sheria, sura ya 293 marejeo ya 2023, Anawatangazia wananchi wote wa Jiji la Dar es Salaam...
Kwa masikitiko makubwa naomba mtusaidie watu wa Kijiji Kyamarange na Kata Rubafu kwa ujumla kutokana na matukio yanayoendelea huku kwetu.
Kuna matukio ya Mauaji ambayo hatupewi majibu yoyote na...
Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt.
Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh...
Huku Mitaani kwetu Tunduma maeneo ya Mpemba kuna Mtaa unaitwa Mlenda, Balozi wa mtaa anachangisha Shilingi 5,000 kwa Wananchi akidai ni kwa ajili ya kujiandikisha kwenye mtaa wake.
Je hii ni sawa...
Hii ni moja ya daladala ambayo ipo hapa Jijini Dar es Salaam, hapa si abiria anadondoka kabisa, kama ni mtoto ndio kabisa.
LATRA na Trafiki ambao kila siku kaiz yenu kubwa ni kupiga faini kwenye...
Wanajamvini Poleni sana, imenibidi ninunue VPN nzuri ambayo nalipia 81,000 Kwa mwaka.
Sasa Enyi ndugu zangu , tunajua na tunaona kabisa kipato Cha wa wasanii wengi ni Cha kati au ulala hoi...
https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd
Na Mwandishi Wetu
Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata...
Hello Brother, I have been following various information on the internet to find out where my father is.
When I saw this page for Mbeya Region, I thought I should inbox you to ask for help. Maybe...
Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But...
Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja...
Shule ya Meta secondary iliyopo mkoa wa Mbeya inayomilikiwa na CCM kupitia jumuiya ya wazazi imezulumu watumishi wake pesa za mishahara na marupurupu mengine zaidi ya watumishi 80 wanahaha...
Wakuu naomba msaada kwa yeyote ambae anaishi Dubai, nina Rafiki yangu huko ana mwezi wa pili Sasa tangu ameenda ila Bado hajapata Kazi
Jamaa ni kama alijitoa muhanga sababu hakuwa na connection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.