Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu...
3 Reactions
12 Replies
657 Views
Ubunifu wake unavutia sana hapo kileleni
5 Reactions
7 Replies
483 Views
Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii...
1 Reactions
7 Replies
459 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imejipanga kuendela kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu huku watumishi wakiaswa kutoa huduma kwa...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Wakuu, nipo hapa sehemu moja yaitwa Mbande ukielekea Kibaigwa ndo naandika haya niliyaona jana nilipokuwa nikimsindikiza mmoja wa marafiki zangu huko Dar JNIA. Kuna kitu kimoja yawabidi Idara ya...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake. Tukianza na...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
4 Reactions
12 Replies
514 Views
Mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu nchini Tanzania Bi. Kijo Bisimba amehoji namna mgombea wa CCM alivyopewa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akibainisha kwa sasa nchini...
2 Reactions
5 Replies
408 Views
Hii nchi yani anaweza msanii kukosea ndani ya siku hiyo mpaka wiki inakwenda ni mwendo wa media uchwara kudili na mada hiyo. wajifunze swahili Max kuna jamaa alikufa mara 6 sasa nasikia huyu...
3 Reactions
3 Replies
265 Views
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗬𝗔, 𝗠𝗜𝗞𝗨𝗠𝗜 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗟𝗢𝗥𝗜 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗢𝗧𝗢. 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜
7 Reactions
7 Replies
451 Views
Ikiwa nisipotumia VPN, digital address yangu inakuwa uchi uchi TCRA wananiona eneo niliko na nafanya nini mtandaoni, then TCRA hao hao wakanilazimisha nitumie VPN ili kuzifikia baadhi ya huduma...
3 Reactions
5 Replies
575 Views
Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji Utaita gongo, chang'aa , etc Ukata? Ulevi usio na mipaka? Trend? Msongo? What happened?
3 Reactions
27 Replies
860 Views
Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
3 Reactions
13 Replies
754 Views
Natumia TRUECALLER
5 Reactions
7 Replies
492 Views
Hamjambo tafadhali? Msaada tafadhali. 1. Shule ya Kibaha Sekondari (boys, ile special) ipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani?!!! 2. Chuo Cha st. John, tawi la st marks (pale buguruni malapa)...
1 Reactions
5 Replies
358 Views
Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji...
8 Reactions
124 Replies
48K Views
Back
Top Bottom