Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo. Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo...
1 Reactions
3 Replies
191 Views
Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stendi wakati hela yangu ipo kwenye simu. Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na fedha taslimu, nikaingia...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa mpaka September 11, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuja kwa ajili kukamilisha kutoa mjumuisho baada ya Jamhuri kueleza hoja zao kuhusu mapingamizi...
1 Reactions
2 Replies
363 Views
Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana...
30 Reactions
165 Replies
6K Views
Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Mnadanganya huduma zitapatikana mchana na usiku Mtafanya maboresho. Lakini ukweli ni kwamba mmezengua pesa hazipatikani kwenye ATM huduma mchana hakuna. Yaani kiufupi shughuli zote zimesimama...
5 Reactions
18 Replies
849 Views
Wakuu, tia neno! Mimi sina neno (Bila VPN)
1 Reactions
10 Replies
506 Views
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa? Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka...
45 Reactions
368 Replies
19K Views
Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!.. hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto...
2 Reactions
3 Replies
330 Views
Wakati dunia inazungumza kuhusu vita vya kisasa vinavyotumia teknolojia ya hali ya juu, jeshi la Tanzania bado limebaki nyuma likifanya mazoezi yasiyo na tija. Badala ya kuwekeza kwenye zana za...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Natoka Morogoro naelekea Singida. Pale 100 km kutoka Morogoro imeanguka tanker ya mafuta, imeanguka pale pale kwenye lami. Wanakijiji wanakuja from all sides kuchota mafuta. Nimeona malori mengi...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni haki ya kikatiba kwa raia kusikiliza kesi, hivyo wasibuguziwe wale wanaofika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala...
1 Reactions
0 Replies
225 Views
Watu wanapo kuja na maneno ya kukukatisha tamaa kwamba huwezi, jifunze kunyamaza kisha uwanyamazishe. Siku zote tambua Imani ni siraha muhimu katika maisha yako, unapo amini japo litafanikiwa, ni...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
0 Reactions
8 Replies
373 Views
Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini 🙌🙌—...
2 Reactions
6 Replies
900 Views
Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu. Tunajua mna uwezo wa...
6 Reactions
11 Replies
749 Views
Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom