Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso. Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012 Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Walisema Serikali haiamini katika uchawi. Ila uchawi upo na asikuambie mtu aisee nimeona mwenyewe.
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
"Ninandoto siku moja watoto wangu wataishi kwa Uhuru bila kubaguliwa katika nchi yangu' Hiyo ni nukuu ya mwanaharakati na mtetezi wa haki za watu weusi nchini Marekani - Martin Luther King Jr...
2 Reactions
3 Replies
242 Views
Idadi ya Malori njia ya Mandela road imekua kubwa sana kiasi ambacho yanasababisha foleni kubwa sana. Hii ni kero kero kwa wakazi wa Kigamboni na Mbagala wanaotumia mandela road. Mbali na foleni...
0 Reactions
3 Replies
333 Views
1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
9 Reactions
95 Replies
3K Views
Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka. Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada. Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili...
5 Reactions
9 Replies
542 Views
Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Siasa na michezo wiki hii imechukua muda wetu mwingi.. Na mijadala yetu imekuwa na matokeo butu kwakuwa wenye mamlaka wanatufuatilia kwa jicho kali la tai Hivyo basi hebu tujjburudishe kidogo na...
11 Reactions
168 Replies
3K Views
Iko hivi... Kuna Mzee mmoja naheshimiana nae Sana, imepita kama muda alienda dukani kwangu kuchukua vifaa Kwa ajili ya kufanya finishing ya apartments zake anazojenga, akachukua vifaa vya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Salam. Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma. Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x. Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Najua kuwa askofu Makarios wa Cyprus na Hastings Kamuzu Banda hawakuwa na wake wala watoto. Putin wa Urusi alikuwa na mke wakaachana. Mia Motley waziri mkuu wa Barbados hana mume. Pia, rais...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Muungano wa Asasi Za Kiraia unaotetea Haki ya Upatikanaji wa Taarifa (Coalition on Right to Information - CoRI) umelaani vikali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuisimamisha kwa...
5 Reactions
7 Replies
452 Views
Najua wengi wakati tunajifunza kingereza katika kamusi ya oxford ili neno luddite wengi wajawahi kusikia. Neno Luddite lina maana Asili ya kihistoria lilitokana na harakati za wafanyakazi nchini...
2 Reactions
2 Replies
244 Views
Isa 59:2 SUV [2] lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia. Dhambi siyo ya kuchukulia kawaida, ukiona mtu anachukulia...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja. Najua atakuwa...
4 Reactions
11 Replies
627 Views
Jamani, elimu halisi inatokana na self-effort, knowledge iliyopatikana kwa kujituma, siyo ile ya ‘Samia system’ inayojulikana kwa rhetoric tu. Elimu ikishapewa jina la mtu mwingine, usitegemee...
3 Reactions
1 Replies
200 Views
Anonymous
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu. Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100.. Sasa...
2 Reactions
1 Replies
352 Views
Back
Top Bottom