Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza...
Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k.
Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti...
Nimegundua saloon za kike zinawabadilisha sana tabia wanawake huwa wanafundishana ujinga , ni nafuu mke wako umpe masharti asiwe anaenda saloon za karibu na mtaa wenu.
Mafundisho yote ya...
Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, tofauti kabisa na pacha wengine unaowafahamu. Abby alifunga ndoa na...
Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria .
Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !?
Usiondoke hapa ! Namaliza...
Helo JF!
Ebana binafsi napenda mnoo kufuatilia na kutazama makala mbalimbali ya viumbe hai na maisha yao (Wildlife).
Yaani nikikaa kwenye TV target yangu ya kwanza ni kutafuta channel zinazorusha...
Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule.
Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na...
Kazi unaitengeneza mwenyewe.
Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi?
Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umelaani vikali Suala la Jeshi la Polisi kuwashikilia kwa zaidi ya saa 24 waandishi wawili wa habari Arusha, bila kuwapa dhamana. Waandishi...
Wanafunzi 1,172,279 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, uliopangwa kufanyika kesho na kesho kutwa nchini, wakiwamo wavulana 535,138 na wasichana 637,141.
Akizungumza na...
Habari za huko zimenichanganya kidogo
Eti nini, nije likizo alafu niambiwe ku prove nafanya nini ninakoishi?
Tanzania jamani ni manini hayo?
Watu tutakuwa tunapandia Entebbe au Nairobi ndo...
Mi ntasaidia kutoa conection ya kufika eneo husika
ila please keep in mind mi sitoi kazi ila ni michongo tu ya kufika sehem na kutembea, kama ukiamua kuzamia mwenyewe ni wewe, ila dhamira yangu ni...
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally...
Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio...
Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa.
Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani.
As Human beings, we have a free will, we observe, we think and...
Anaitwa Nashir Adam ana umri wa miaka 29 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam, familia inamtafuta baada ya kutoonekana wala kupatikana kwenye simu tangu tarehe 28 ya mwezi June.
Familia imejitahidi...
Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara.
Wanafanya kazi kwa majina...
Kijana Salim Waziri, ambaye ameonyesha uzalendo wake wa kuchora sura ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye bega lake la kushoto.
Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa
Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia
Na...
Mahakama ya Wilaya ya Maswa imemhukumu Luth Jacob, mwenye umri wa miaka 50 na mkazi wa Kijiji cha Mwanundi, Kata ya Sengwa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi 300,000 baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.