Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa...
Kwema wakuu, naomba kuuliza je ni documents gani naweza kwenda nazo kujiandikisha ili kupata kitambulisho cha Taifa (NIDA)?
Sina cheti cha kuzaliwa ila ninakitambulisho cha mpigakura tu.
Pia...
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya...
Ujue kipindi JF imefungiwa hatukujua kama kupitia VPN unaweza Ku access so tukahamia Facebook na insta kidogo.
Sasa kiukweli Nina wasanii ambao nimewa follow wa comedy ila cha ajabu kila siku...
Kwa masikitiko makubwa, sisi wakazi wa Kinondoni tunapaza sauti zetu kulalamikia kitendo cha kumegwa kugawiwa kwa sehemu kubwa ya uwanja wa wazi wa Biafra kwa mfanyabiashara binafsi ambaye tayari...
Ni kitambo kidogo kimepita namkumbuka mwalimu wangu mmoja makamo ya 50s hivi. Siku hiyo baada ya lecture akaanza kutupa story za maisha
Alisema yeye alipata misiba inayofuatana ya mama, baba...
Habari zenu wakuu,
Nauliza ni minada ama magulio yapi hapa Tanzania ipo vizuri ki biashara yaani ina amsha amsha. Asilimia kubwa kila mkoa ina minada yake, je ni mkoa upi minada yake huwa iko hot...
Hivi umewahi kukosa hela na huku unanuka madeni mpaka ukatamani hata mtu akosee kutuma mpesa, au tigo pesa, ili hela ije kwako? Au ukatembeatembea ukiamini unaweza hata okota hela mtu...
-Ruling party stalwarts asking more and more questions
CORRUPTION allegations surrounding business tycoon Rostam Abdulrasul Aziz, who holds senior leadership positions in Chama Cha Mapinduzi...
Salaam.
Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia...
Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi.
Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao...
Na wenye Akili tunajua kuwa huyo FISADI Mwenzako mwenye Makazi mengi Dar es Salaam achilia kule kulikotupwa Kitovu chake Bagamoyo ndiyo amekutuma uharakishe kufanya Press ili kusafisha Upepo, ila...
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.
Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona...
Hii CRDB mnatutendea vibaya sana! 😡 Jana mmekata hela kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu. Hata mbaya zaidi, nimetuma hela kwenda M-Pesa na hazijafika wala kurudi tena kwenye akaunti...
BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WAHABARI UFAFANUZI KUHUSU WANAODAIWA KUWA WAANDISHI WAHABARI KUSHIKILIWA NAJESHI LAPOLISI MKOANIARUSHA
Dar es Salaam
12 Septemba, 2025
Kwa mujibu wa Kifungu cha...
VPN au VIRTUAL PRIVATE NETWORK ni teknolojia ambayo inakupa ulinzi na usalama wakati unatumia Internet hususani Public networks au mitandao ya Umma .
Kwa kifupi inazuia kuonekana utambulisho wa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kukutwa wakitumia namba za SSH 2530 kwenye magari. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni sehemu ya utekelezaji onyo la...
Nimefika ofisi za NIDA mara kadhaa kila mtu anayetaka kufanya malipo ya kitambulisho analalamika mfumo wa control number unasgida wiki ya pili sasa na wahusika wanakuja kazini na kurudi nyumbani...