Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki...
18 Reactions
65 Replies
1K Views
Toka naanza kutumia pesa zangu binafsi zimekuwa nikituma sana CASHLESS (VISA CARD), nikiwa na pesa cash ujue ni kwaajili ya tips na vitu vidogo ambavyo siyo vya bei kubwa (maji, snacks,soda n.k)...
5 Reactions
13 Replies
118 Views
Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi...
2 Reactions
1 Replies
43 Views
BETTING NA CASINO: MTEGO UNAOWATAFUNA VIJANA KIMYA KIMYA Katika miaka ya hivi karibuni, betting na casino games zimekuwa sehemu ya maisha ya vijana wengi. Simu ya mkononi imefanya casino iwe...
1 Reactions
2 Replies
33 Views
Wewe mtu nimekukaribisha kwangu upafahamu tayari umeshaanza mambo ya umbea hii itakusaidia nini? Ndiyo nina mitungi sita ya gesi nyumbani kwangu na yote iko full yani hapo na mtu anashangaa kabisa...
9 Reactions
12 Replies
186 Views
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Unakuta mbaba mtu mzima na nguvu zake kila Siku anamchapa mtoto tena Chini ya 5 yrs, uliza kosa sasa, eti aliruka juu ya makochi, mara oooh alipeleka masufuria sebuleni. Mara oooh alichora ukuta...
20 Reactions
119 Replies
1K Views
  • Redirect
Sasa wala si suala la aibu au kufichaficha, ila ukweli ni kwamba kwa sasa Wanawake (baadhi) ukiwa nao Faragha (Mapenzini) ama wanakuomba au wanakulazimisha Uwaingilie nyuma. Hili nalo lijadiliwe...
7 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya kwa juhudi zake za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda maadili, akimtaja...
14 Reactions
52 Replies
664 Views
Matangazo ya mara kwa mara kuhusu El Niño yameanza kuwapa hofu baadhi ya wananchi. Wakati mwingine mtu anafikia hatua ya kusita hata kufanya mambo ya msingi kwa sababu anawaza, “Itakuwaje?” Maana...
1 Reactions
2 Replies
63 Views
Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe...
4 Reactions
41 Replies
534 Views
Wakuu hizi simu za aquos kama wewe ni mtumiaji wa 3g tuu vipi bado utakosa network kama wadau wanavyo dai?
4 Reactions
44 Replies
325 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka wananchi, viongozi, waandishi wa habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii...
1 Reactions
0 Replies
19 Views
"We All Came from Africa: The Genetic Truth Makes Us All Cousins" - Jane Elliott; ■An Epic Homecoming. That Part of Africa is Tanzania! ■Tanzania Hosts IPU 137 Years after its Founding. ■By...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai. Chai lazima iwe...
28 Reactions
92 Replies
850 Views
Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa...
1 Reactions
4 Replies
96 Views
Utumwa mamboleo (modern slavery) ni tatizo kubwa la kijamii na kiuchumi linalo wakabili vijana wengi waliohitimu vyuo vya elimu ya juu. Wahitimu wa elimu ya juu nchini Tanzania wanakabiliwa na...
4 Reactions
12 Replies
481 Views
Ni seme tu ukweli mimi binafsi kuna baadhi ya members humu jamiiforums toka wameanza kupost miaka mpaka leo huwaga sielewagi post naonaga tu kama wana jaza server na sijui kwanini niko na mtazamo...
8 Reactions
42 Replies
525 Views
Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji, Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe. Madereva Maopereta Ma Foreman...hasa wale wanoko SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji...
11 Reactions
36 Replies
570 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…