Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
GT Aisee huyu dada ni hatari. Mi nadhani watangawana juu kwa juu mikono kule kichwa kule yaani ni balaa.
2 Reactions
18 Replies
715 Views
Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam...
0 Reactions
38 Replies
16K Views
Naomba leo nielezee kidogo kuhusu huyu mjomba wangu ambaye alikuwa tegemeo langu kipindi fulani ila alishindwa kunisaidia na nikajikuta nakuwa na maisha magumu sana huko jijini Dar es Salaam...
43 Reactions
175 Replies
20K Views
Leo naomba niweke sawa hili kwanini sikuwa Daktari licha ya kwamba nilipata nafasi kutoka kwa rafiki wa karibu wa mjomba na mwishowe nikawa nafanya Utanesco. Katika uzi wa Safari ya Dar es Salaam...
28 Reactions
117 Replies
11K Views
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia. Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
4 Reactions
16 Replies
470 Views
Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu. Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni. Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika...
14 Reactions
88 Replies
4K Views
Mwanaume aitwaye Mugeta Maiga, mkazi wa Kwangwa A, Musoma mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kupigana na mke wake Nyachiro Masatu kwa kutumia mapanga.
6 Reactions
99 Replies
8K Views
1.Kunguru ndiye ndege pekee mwenye ujasiri wa kukaa juu ya mgongo wa tai na kumdonoa shingoni. Bila huruma. Inakera. Lakini tai hubaki mtulivu 2.Tai hapigi mabawa. Hapigani. Hatumii nguvu ovyo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye...
3 Reactions
3 Replies
244 Views
Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
1 Reactions
8 Replies
371 Views
Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine. Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Habari wakuu Tatizo la kushindwa au kuogopa kuongea mbele za watu ni janga kubwa sana. Mfano tafiti zinaonesha karibu 70%-80% ya watu hukumbwa na tatizo hili mara tu wanapopewa nafasi ya kuongea...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts...
2 Reactions
3 Replies
288 Views
Naomba ufafanuzi wa hili jambo maana kama iko hivi pesa zetu haziko salama Hoja: Nilikwenda kwa wakala hapa mbezi mwisho nikalipa pesa kwa wakala na akanitumia pesa na nikaona muamala kabisaa...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Binafsi nimewahi kwenda mara kadhaa nikiwa na timu fulani ya Mpira wa Miguu, Siku moja nikiwa na hiyo timu nilipewa kitu ambacho nilifunga katika maeneo nyeti 'sehemu za siri' HAKI YA MUNGU siwezi...
21 Reactions
433 Replies
89K Views
Unabii umekwisha timia Yesu naelezea baada ya mateso ya wakristo kipindi kile cha rumi ya kale mungu angerudi upesi lakini kuna dalili alizitaja. Mathayo 24:29-30 – Yesu anazungumza kuhusu...
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa! Huko mitandaoni nimeona habari kuhusu jamaa wa LBTQ kuwa wameruhusiwa na Kanisa Katoliki kuhiji kwa mara ya kwanza huko Vatican. Nimeona pia humu kuna uzi mmoja kuhusu habari...
6 Reactions
19 Replies
872 Views
Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma...
8 Reactions
22 Replies
753 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…