Alpha High School, je hamjui kuna bei elekezi?

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam

Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine

Rais wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
 
Last edited by a moderator:
Serekali haina haja ya kuangaika na ada elekezi kwa shule binafsi ila.ingejizatiti na kuimarisha la serekali zitoe huduma mzuri,hizi za zingejifia taratibu tu.Miaka.ya themanini.mpaka tisini.mwanzoni.shule za binafsi zilikuwa wanaenda watu.walioshindwa shule au.wamefeli.Ilikuwa mzazi.anakazana.mtoto afaulu darasa la saba ili mtoto aende shule ya serekali sasa baada ya kubadilishwa sera na viongozi na wafanya biashara kuanza kufungua shule zile za serekali zikawa haziangaliwi tena ili wao wapate wateja na ndio tulipofikia.Sasa kurevesi hii kitu ni kuanza kutoa huduma bora na kufanya shule zote kutumia mtaala mmoja,vitabu vya aina moja bila kujali hii ni english medium or not.Shule zote ziwe zinafundisha kiingreza na kiswahili tangu mwanzo na kiingreza kwa masomo yote au kiswahili.Yaani tunaitaji uniformity na consistency.Otherwise mnajisumbua kwani mtoto wa raisi mwenyewe anasoma private ushangai kwa nini amekuwa rais tu mtoto akapelekwa feza school na sio Azania au Tambaza.
 
Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam

Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine

Raisi wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
kapuchi hiyo ni shule ya Rais wa Mioyo ya watu ! ..... yule aliyekuwa anawaambia wafuasi wake elimu, elimu, elimu. Na itakuwa bure kutoka chekechea mpaka chuo kikuu !
 
Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam

Ada ziko juu sana ..ada ya mtoto anaetaka kukaa Bweni ni shs milini tano na laki sita...bado michango mingine mingine

Raisi wetu mpendwa njoo utusaidie wananchi wako tunaimia sana pamoja na kuwa elimu ni haki ya kila mtanzania
na FEZA School pia jipu litumbuliwe
 
Serekali haina haja ya kuangaika na ada elekezi kwa shule binafsi ila.ingejizatiti na kuimarisha la serekali zitoe huduma mzuri,hizi za zingejifia taratibu tu.Miaka.ya themanini.mpaka tisini.mwanzoni.shule za binafsi zilikuwa wanaenda watu.walioshindwa shule au.wamefeli.Ilikuwa mzazi.anakazana.mtoto afaulu darasa la saba ili mtoto aende shule ya serekali sasa baada ya kubadilishwa sera na viongozi na wafanya biashara kuanza kufungua shule zile za serekali zikawa haziangaliwi tena ili wao wapate wateja na ndio tulipofikia.Sasa kurevesi hii kitu ni kuanza kutoa huduma bora na kufanya shule zote kutumia mtaala mmoja,vitabu vya aina moja bila kujali hii ni english medium or not.Shule zote ziwe zinafundisha kiingreza na kiswahili tangu mwanzo na kiingreza kwa masomo yote au kiswahili.Yaani tunaitaji uniformity na consistency.Otherwise mnajisumbua kwani mtoto wa raisi mwenyewe anasoma private ushangai kwa nini amekuwa rais tu mtoto akapelekwa feza school na sio Azania au Tambaza.
Hilo ndilo la muhimu lakini sijui kama tutarudi huko!
 
Unazungumzia Rais gani mkuu!?
 
jk

Jk mtoto wake alisoma Kibaha boys usiongee kitu usichokijua
 
Inashangaza mtu anapolia na ada ya shule za private....ilhali kuna shule za serikali

Badala ya kulia serikali iboreshe shule zake...mazingira librari madarasa maabara msosi usafiri nk nk nk zitoe elimu bora na si bora elimu...ili watoto wakasome huko na hii itafanya shule za binafsi zishushe bei zenyewe
 
Last edited:
Inashangaza mtu anapolia na ada ya shule za private....ilhali kuna shule za serikali

Badala ya kulia serikali iboreshe shule zake...mazingira librari madarasa maabara msosi usafiri nk nk nk zitoe elimu bora na si bora elimu...ili watoto wakasome huko na hii itafanya shuke za binafsi zishushe bei zenyewe
Maajabu ya Tanzania haya, wakati za serikali zimejaaa kila kata zipo, wanachokililia sijui ni kipi
 
Sifa umetaka mwenyewe kumpeleka huko
Unabaki unalialia tu

Rais kasema elimu bure kuanzia mwaka huu

Lipa lipa lipa lipa lipa
USILIELIE
 
Inashangaza mtu anapolia na ada ya shule za private....ilhali kuna shule za serikali

Badala ya kulia serikali iboreshe shule zake...mazingira librari madarasa maabara msosi usafiri nk nk nk zitoe elimu bora na si bora elimu...ili watoto wakasome huko na hii itafanya shule za binafsi zishushe bei zenyewe
Inashangaza sana mkuu...tena huku kayumba tupo walimu wenye sifa kabisa,kilichopo ni mazingira tu ya kufundishia na kujifunza ndo yaboreshwe
 
Watz bana.Kama mtoto alishaanza unataka ahamishwe au? Mchanganyiko wa wivu akili ndigo,umaskini vinawachanganya watu. Private ziwepo kama vile biashara nyingine za private na kuwe na regulators kama walivyo Ewura, sumatra n.k.
 
Nimemaliza pale mwaka flani nyuma mwenye shule ni Mayo lakini inasemekana ni ya mamvi, service zake zinaendana na hiyo bei, ila kero ni viwanda vya pembeni. Shule ni nzuri sana, nikipindi nasoma pale iliibuka kesi ya kiwanja kwenye magezeti kama kumbu kumbu yangu sio mbaya ni kiwanja namba 53 mikocheni B industrial area kiwanja kuwa ni cha uma mamvi kapiga deal, ukiangalia kweli kiwanja kimepakana na kiwanja kingine cha serikali "chuo cha uhasibu" nahisi hilo eneo ni jipu lakini kwa bei inaendana na huduma , hiyo na feza boys ni shule bora Tanzania zenyekutimia mitaara ya Tanzania. Lakini kipindikile naingia form five qualification yake ni division 1 na 2 only, hivyo ni gharama kuwa pale na ina hitaji ufaulu mkubwa kuliko shule za serikali
 
Back
Top Bottom