Je ni kweli unafahamu umuhimu wa Mwanamke!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli unafahamu umuhimu wa Mwanamke!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akili Unazo!, Feb 24, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,067
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  We mbaba,mkaka unafahamu kweli umuhimu wa mwanamke/mpenzi wako?
  mwanamke ni kiumbe muhimu sana katika maisha ya kila siku.Uongo??????
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  fafanua unataka kusema nn pls kwani wote ni muhimu mwanamke anamuhitaji mwanaume kama mwanaume anavyomwitaji mwanamke kwaiyo wote ni muhimu kila mmoja mwenzake
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 1,952
  Trophy Points: 280
  MUHIMU KIVIPI?
  mbon MI NIKO ALONE NA NAINJOI LIFE?
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  yah, ni muhimu,
  ni chombo cha starehe, starehe haikamiliki bila kifaa cha kukamulia samli............ ni muhimu sana ...................... you just need cash and you get it all................... abou uses, dont worry, you can use the way you like, it iis very flexible and driven by money.................... yah, i got it right!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Hapo sasa; usipofafanua watu watakwiba point yako to their own advantage!
   
 6. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 545
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 60
  Ni kweli!
  Kwanza kabisa ni Mama zetu; wametuzaa,wametunyonyesha, wametulisha, wametulea hadi tukawa hivi tulivyo.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,393
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Umuhimu upo..bila mama sidhani kama wewe ungekuwepo ...
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  i love women, they re so tender, lovely, caring, very trustfull but if you mess with them, utashangaa
   
 9. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi akili unazo? Swali lako mbona halina mwelekeo au unafanya research ambapo hii ni moja ya research methodology unayotumia? Kama ni hivyo supervisor wako ni Sonyo W, unamjua? Usiulize ili mradi unauliza kwani unapoteza muda wa watu wakijua kuna mada ya nguvu kumbe pumba tupu tena za mbao.
   
 10. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Umeenda mbele ya mada mkuu punguza munkali mazee watakuogopa....
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  mmh!!! Ngoja bht na FL1 waone hii!
   
 12. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Swali halijaeleweka umuhimu kwenye nini??? fafanua vizuri.....
   
 13. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwanamke ana umuhimu wake mkubwa katika nyumba, mapenzi nk. Tusijifanye hatujui tunajua lakini ni jeuri tu.
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,437
  Likes Received: 2,692
  Trophy Points: 280
  Yaani hizo mimba mnajipa wenyewe?
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  nimeiona
  ngoja nimvutie pumzi
  change doesnt come over night..............
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,297
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mkuu hapa hamna mwanamme bila mwanamke na wala mwanamke bila mwanaume.....
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Umenikumbusha my late mom, she used to say "NOBODY NOTICES WHAT I DO, UNTIL I DONT DO IT". Sikuwa namuelewa wakati ule, saa hizi ndo naelewa. umuhimu wa mtu katika maisha yako, ni rahisi sana kutokuutambua. So, I dont take anybody for granted, especially people close to me (even mlinzi na housegirl)
   
Loading...