Viongozi taboa kuajiri madereva walevi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi taboa kuajiri madereva walevi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jatropha, Feb 24, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jana katika kipindi cha Kumekucha cha ITV, kiongozi mmoja wa madereva wa mabasi alidai kuwa viongozi wa Tanzania Bus Owners Association (TABOA) wanakwepa kuwapatia ajira za uhakika madereva nabadla yake huchukua walebi wa viroba vya Konyagi mitaani na kuwapatia mabasi wasafirishe abiria,
  Nini maoni yako?
   
 2. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 20,506
  Likes Received: 11,768
  Trophy Points: 280
  kwahio huyu KIONGOZI WA MADEREVA ni kiongozi wa madereva walevi?
  hakuna sheria inayokataza kuajiri mtu anaetumia pombe,bali hairuhusiwi kuendesha ukiwa umelewa,polisi wafanyekazi yao kukamata wanaoendesha wakiwa wamelewa.
   
Loading...