Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi zote za serikali ni rushwa tu kila kona afu leo mnataka kupinga rushwa wkt ninyi bado mnakula rushwa za mabillioni na uchafu Mnawalipa bodaboda ili wajaze mikutano yenu hii ni rushwa au...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA? Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi...
1 Reactions
0 Replies
113 Views
Mungu ana uwezo wa kuongea na kila kiumbe moja kwa moja sasa ilikuwaje awatume warabu na wazungu ndiyo waje kutueleza habari zake na wasiwe wachina,wahindi,wakorea,waafrika,nk? Waafrika Tujitambue!!
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki...
16 Reactions
39 Replies
1K Views
Ni aibu kwa Taifa kama langu kutojua kabisa Vyanzo vya uhakika vya Kuingiza mapato. Tukiwadharau na kuwaambia kuwa HAMNA AKILI mnakimbilia KUTUCHUKIA na kutuundia VIKAO vya VIMKAKATI vya...
6 Reactions
18 Replies
462 Views
Habari Tanzania ! Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani. Mfunge Usafiri waya kutoka: 1. Mkuyuni - Bugando -...
2 Reactions
4 Replies
247 Views
Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii...
20 Reactions
45 Replies
3K Views
ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu...
3 Reactions
5 Replies
272 Views
TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili...
1 Reactions
1 Replies
229 Views
Kumekuwa na tabia ya viongozi hasa watendaji wa vijiji kuwakumbatia wakimbizi kutoka kongo na burundi na kupokea pesa kwaajili ya kuwahifadhi na hata kuwapatia vitambulisho vya kuoigia kura na...
2 Reactions
10 Replies
362 Views
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa BASATA wanasema laZima ziwe kazi...
4 Reactions
36 Replies
834 Views
Salaam wakuu, Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa, Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa? Kwanini waje na huo Mpango...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu, muda mrefu tumeelezwa kuwa Mkoani Singida, Wilayani Manyoni, kijiji cha Sukamahela ndipo katikati ya Tanganyika. Tumeelezwa pia kwamba ma-surveyor wa mkoloni (niliambiwa wakijerumani)...
4 Reactions
3 Replies
224 Views
Wakuu, Leo nimekuwa nikitafakari jambo moja ambalo limekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku – simu za mkononi. Ni ukweli kwamba simu imerahisisha mawasiliano, biashara, elimu na hata huduma za...
5 Reactions
4 Replies
338 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Vitisho vinaendelea! Ila nao wabongo wanaendelea kuzoom kusubiri siku ifike tuone kitachotokea ============== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Back
Top Bottom