Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana
Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga!
=================
Mchungaji Nyuki...
Ila Tanzania kuna viongozi waajabu na vituko!
Hivi mbona atujawahi kusika wafanyabiashara wengine tena wakubwa ambao wanamichezo ya kukwepa kodi wakifikishwa mahakamani?
Au wananjia zao za kutoa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure...
CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI
31 MEI, 2024
UVCCM HQ
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya...
Wakuu.
Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia.
Pia kupitia Maps...
Mnamo Septemba 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula [21] aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na...
TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini...
Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa...
Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria...
Salamu kwanza, kuna utaratibu mpya wa kuomba leseni za udereva ambao nitaelezea kama nilivyoelekezwa, unaingia katika tovuti ta TRA kisha unajisajili kwa kutumia nambari ya utambulisho wa mlipa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za...
Imekuwa ni kawaida kwa wale wateja ambao matumizi yao kwa mwezi ni chini ya 75 units kuwekwa kwenye tariff zero (yaani huyu mtu kwa takribani 9600/= anajipatia units 75); Sasa kuna wadau kama...
Habarini wakuu, natumaini mu wazima.
Moja Kwa Moja kwenye mada,
Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa...
Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia matukio muhimu ya kiusalama nchini, milipuko ya mabomu katika maghala ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Mbagala mwaka 2009 na Gongo la Mboto mwaka...
Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR.
Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila...
Programu ya Imbeju inayotekelezwa na Taasisi ya CRDB Bank Foundation imetoa zaidi ya shilingi milioni 555.6 kwa vikundi 58 vya wajasiliamali mkoani Kigoma.
Mikopo hiyo itokanayo na asilimia 10 ya...
Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena
Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani...
Matukio ya namna hii ya naumiza sana, binti mdogo akitafuta maisha yake ila ghafla yamekatishwa na watu wenye roho mbaya.
Ila kuna jambo najiuliza je ni ishu za biashara za baba yake? au...
Kwakweli kwenye sekta ya Teknolojia hasa huduma za kifedha hizi kampuni zinatia hasira sana.
Jana nimefanya muamala kwa T-Pesa (TTCL) kwenda HaloPesa (Halotel) haukukamilika, nikawapigia simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.