Je hii inaingia akilini?
Sijaona na sitoona faida ya pombe kabisa. Nimekaa na kutafakari kwa kina kwamba yani mimi ninunue pombe haswa hizi kali niharibu maini na figo ili nimtajirishe mmiliki na...
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa X aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Waziri Kitila Mkumbo Septemba 29, 2015 aliwahi kuandika "Nchi zote zenye akili hupima uwezo...
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako...
Mgombea Ubunge wa Viti maalumu akiwakilisha kundi la Vijana Zainabu Abdallah amesema kuwa watanzania wanataka vitu viwili pekee ambavyo ni Amani na Maendeleo na Kueleza kuwa Dkt. Samia ameweza...
Aliyekuwa waziri wa kilimo China ahukumiwa kifo kwa kashfa za hongo
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China, Tang Renjian, amehukumiwa adhabu ya kifo iliyositishwa kwa miaka miwili, baada ya...
Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi
Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani...
Kuna nyumba moja ya kupanga bwana; kuna hao wakaka wawili wenye umri takribani 25 mpaka 30; ni mapacha wa kufanana kabisa yaani(Identical Twins) na wanafanana kila kitu.
Sasa hao wakaka...
Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa...
KCB Bank Tanzania mnatia aibu, ni zaidi ya siku 20, KCB Mobile haifanyi kazi, pia app yenu mpya na ya zamani ni hovyo
Ni zaidi ya siku 20 KCB Mobile haifanyi kazi, huwezi kutizama salio, ama...
Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. "
Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka...
Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia.
Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba...
Kwenye vikao vya Biashara wahuni wana mbinu za kuji brand, unaona mtu anakuja na Gari Kali kumbe la kukodi anatengeneza Mazingira umuone matawi😀
Hapo atapiga miwani myeusi plus suti kali, na...
Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV.
Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA.
ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa...
Katika jamii ya kuonewa huruma ni hawa Watanganyika wenzetu wanaofanya kazi ngumu ya kulinda usalama.
Hawa askari wetu wa vikosi vyetu, nao wanahitaji reforms wapate malipo na heshima kulingana...
Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-.
Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mwendokasi Hayati John Pombe Magufuli aliwahi kusema "Kwa hiyo watendaji na waliojipanga kuhudumia mradi huu, wajipange kupata faida. Kwa sababu mkopo wa bilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.