Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana.
Uzi huu hapa...
Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu...
Serikali makini ingeweza kusisimamia kwa ukamilifu ingeweza kuokoa mabilioni ya wananchi maskini wenye matatizo ya kila aina. Lakini iko kimya kabisa! Je kuna namna serikali inanufaika na hizi...
Ni kifaa Gani ambacho unaamini kikipita kwa fundi kinakuwa kimeshuka ufanisi?
Watanzania wengi wanaamini kitu kikishafunguliwa tu basi kinakuwa sio Bora je ni wapo sahihi?
Baada ya kuondoka kwa Yesu (amani iwe juu yake), wanafunzi wake waliendelea kushikamana na ujumbe wake wa kumpwekesha Mungu. Walikuwa Wayahudi wa kawaida, wacha Mungu, ambao waliendelea kufundisha...
Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo.
Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮
Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao...
Wadau, kizazi ambacho kwa maoni yangu ni kizazi bora zaidi kuwahi kuzaliwa ni wale waliozaliwa kati ya mwaka 1988 hadi 1997.
Kizazi hiki ndicho kilichokulia kipindi cha mpito mkubwa:
Tulianza...
A report issued by the World Health Organization states that the Ebola outbreak in West Africa was the largest and most complex since the detection of the virus in 1976. The outbreak reached an...
Hivi kuna uwezekano serikali ikaufungia mtandao wa 'X' (Twitter), lakini bado viongozi wake wakawa wanaendelea kuutumia kwa ku post na kufiatilia taarifa mbalimbali ikiwemo kuendelea kufanya...
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara,
Kiufupi ndugu yenu...
POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI.
Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa
“Ukweli ni mchungu na...
Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata...
Yer 23:23 SUV
[23] Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali.
Zamani katika agano la kale Mungu alionekana yupo juu mbinguni, na mara nyingi alizungumza na watu wake...
Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana
Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali...
Maisha yanazidi kua magumu kwa wapangaji kila kukicha.
Kuna kautaratibu naona kanazidi kua ka kawaida kwa wenyenyumba ukienda kupanga kwa mara ya kwanza, wanataka kodi ya mwezi mmoja kama hrla ya...
Kesi ya Luhaga Mpina na
ACT-Wazalendo kuhusu pingamizi la kuenguliwa kwenye nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imetupiliwa mbali.
Ambapo Mahakama imeeleza kuwa kwa...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.