Wengi hawapendi waonekane washamba hata ukitaka kumfundisha kitu, kumuonesha njia au kumpa maelekezo, hapo ndio huwa wanaharibu zaidi.
kusimama kushangaa shangaa vitu madukani, magorofa, n.k...
Eti Amani !! amani, amani!!! Hii Tanzania kuna amani au kisiwa cha uvumilivu??? CCM ilipo sasa, kwa udhalimu wake, imetutoa kwenye kisiwa cha amani imetupeleka kwenye kisiwa cha uvumilivu. Je sisi...
NA MWANDISHI WETU
Wakazi wa Kijiji cha Miganga wilayani Mkalama, mkoani Singida, wameishukuru Serikali kwa neema ya miradi ya uchimbaji wa visima vya Umwagiliaji na kuahidi kulinda miundombinu...
Siku zinavyozidi kuyoyoma ndipo Stori za Humphrey Polepole na kutekwa kwake zinasahaulika. Hata kabla ya Polepole watu wengi walishatekwa wengine mbele za watu kabisa akiwemo Bwana Kibao na badae...
Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali,
Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi
huwenda ni tamaduni tumeiga...
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
Leo kwa mfano Hospital zetu ukienda na mgonjwa akifariki pale hospitali kama ulikuwa unadaiwa hela ya matibabu utoi maiti pale, hivi ni sawa? kwa sababu serikali haina hela na wabunge wameacha...
KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU.
Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli
1. Kuendekeza mambo ya dini.
Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni...
Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu?
Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa!
Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa...
Bodi ya mikopo ya wanafunzi mpaka leo hawajatoa majina ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo, iwe mkopo wote au sehemu ya mkopo.
Vyuo vinafunguliwa November mara baada ya uchafuzi mkuu tu Ila...
Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji
============
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji...
Erasto mpemba alikuwa ni mzaliwa wa Lushoto mkoani Tanga, Alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa na bidii katika masomo yake
Wakati yupo kidato cha tatu katika shule ya secondary Magamba ya mkoani...
Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa...
Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa...
Jana nimefuatilia habari ya kifo za Raila Odinga, jambo nililoona la tofauti ni namna demokrasia ilivyokua nchini Kenya. Viongozi wote bila kujali vyama wanaomboleza na kuelezea mema ya Raila...
Kila mtu ana breaking point. Kila safari ina kituo cha mwisho
Kuna wakati Tiktok ilikuwa kichaka cha wavulana chapati na masista du, ila ghafla pamekuwa kituo cha revolutionary minds. HONGERA SANA!
Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri
Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu...
Yer 25:10 SUV
[10] Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa.
Ujumbe huu ulikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.