Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana...
3 Reactions
13 Replies
927 Views
Wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya kwa Msigwa watu wanajipigia kila mahali ameamua kutoa ufafanuzi kila wakati na sasa amewataka East Africa radio wawe na weledi hii ni kufuatia grafiki...
1 Reactions
19 Replies
555 Views
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote Tukutane tarehe 29 10 SAYUNI BOY
5 Reactions
5 Replies
414 Views
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwenye Insta story yake Msigwa maeandika "Mnaojaribu kupotosha kauli yangu nilipojibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu mada ya utekaji achane...
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Mwishoni mwa Disemba tuliona matokeo mabaya sana ya leseni kwa kada ya ufamasia. Licha ya matokeo kuwa mabaya hivyo,kuna ushahidi wa baadhi ya watu wa kada ya kati walioombwa rushwa ili wafaulu...
2 Reactions
5 Replies
927 Views
*Utukufu wa Afrika: Historia inasema Tohara ilianzishwa Afrika ikaigwa na Wazungu, Wayahudi na Waarabu* Mwandishi wa kale sana aitwaye *Herodotus* katika kitabu chake alichokiandika mwaka 425...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunaweza kuona hali yetu ya nje kupitia muziki tunao usikiliza sio kuusikia, yaani maisha yametupa kusikiliza na kusikia. Je maisha yako yana usikiliza Muziki wa aina gani Kuna baadhi ya nukuu za...
2 Reactions
9 Replies
850 Views
Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza...
1 Reactions
1 Replies
201 Views
Nauza kitabu (nakala laini / softcopy) Cha Henoko Cha kiswahili (biblia hakipo) Bei 5000, nicheki 0756704145.
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Yule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee Iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au...
6 Reactions
26 Replies
792 Views
Kuna ajali mbaya imetokea ya Basi na Costa huko Bahi. Watu ni wengi sana. Stay tuned.
2 Reactions
5 Replies
387 Views
Waajiriwa wengi hutegemea kupata mafao yao ya kazi ikifika mwisho wa mwezi, yaani mshahara wao. Hata hivyo kuna waajiri wengine, hasa serikali ya Tanzania, huwa hawatimizi makubaliano ya kuwalipa...
2 Reactions
3 Replies
241 Views
Kwa miaka kadhaa matokeo ya wataalamu hawa wa dawa wamekuwa wakifanya vibaya sana katika mitihani ya leseni nadhani kuliko kada yoyote hapa nchini. Hata hivyo wengi wamekuwa wakihoji uhalali wa...
3 Reactions
4 Replies
500 Views
Haina haja ya kusalimia. Inatia hasira sana kuona watanzania hatuna la kufanya juu ya tunayofanyiwa na watawala. Kuelekea maandamano ya tarehe 29/10/2025, nashauri yafuatayo. 1 LENGO / MALENGO...
7 Reactions
7 Replies
495 Views
Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya...
2 Reactions
4 Replies
335 Views
Kwenye dunia ya sasa ambayo huwezi kumtenga mwanamke katika shughuli za uzalishaji na kisiasa, nchi ya Sweden imeendelea kufanya vizuri katika suala zima la kumpa mwanamke nafasi. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
14 Replies
570 Views
Katika pitapita zangu najiuliza mbona hatuoni Mama Samia akiwa na mgombea mwingine wa Urais kutoka upinzani wakijibizana kwa Hoja... Radio, TV, Mitandao Yote ni kumtangaza mgombea Urais mmoja...
2 Reactions
5 Replies
192 Views
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom