Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎
Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu.
Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa.
Ni hayo tu kwa leo.
Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na...
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama...
Namba hii 369 tofauti na namba zingine inachukuliwa kama namba takatifu inayobeba ufunguo wa siri za Uumbaji na ufahamu wa juu wa mwanadamu.
Haionekani kama tarakimu za kawaida za hesabu, bali...
Maisha ni safari ndefu na changamoto nyingi..!Hofu nyingi na kukata tamaa kwingi..!
Na ni jambo la kawaida kibinadamu kukumbana na nyakati ambapo imani ya maneno haitoshelezi kukabiliana na hofu...
Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa
Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za...
Ripoti maalumu
Rafiki yangu bill na mlevi mwandamizi, mzaliwa wa kigogo roundabout, hua akisema kitu juu ya spirits zetu bongo namkubali.
Kwanza tulipiga story za grants, black & white...
Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
Tunangoja tumalize shule.
Tunangoja tupate ajira.
Tunangoja tupate mchumba.
Tunangoja mchumba abadilike.
Tunangoja ndoa.
Tunangoja...
Wakuu kwema?
Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa...
Tunamsihi Rais au Waziri Mkuu atuambie hatima ya Kwala Dry Port ni ipi.
Juzi tu kulikuwa na mjadala kuhusu mabasi kutokuingia mjini kwa lengo la kupunguza msongamano katikati ya jiji. Cha ajabu...
Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar.
On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana...
Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh.
Uganda, Kenya ipo mbele yetu...
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kuna mtanzania anaishi nchini Uholanzi (Rottardam au Amsterdam) anaendesha genge la uhalifu mbalimbali na ukwepaji wa kodi. Government officers kimyaa.
Makosa yake ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu...
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu...
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI
Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa...
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa.
Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha...
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma!
Miezi miwili iliyopita...