Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inadaiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathan Mabihya, amefanya tukio jingine jipya na baya kwa kushirikiana na katibu Mwenezi wa wilaya CCM Manispaa ya moshi Athuman Mfuchu kuchukua...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki...
21 Reactions
682 Replies
3K Views
Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa Halotel kwa takribani miaka minane sasa, lakini kwa muda mrefu...
2 Reactions
2 Replies
59 Views
Kwa hii hali ambayo mashoga wana tamba mitandaoni hadi wanaji rekodi live video, kuna kitu nyuma yake
2 Reactions
3 Replies
45 Views
Nimepata mkwe Leo. Mashalllah.🕌🕋🕋
9 Reactions
45 Replies
336 Views
Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na...
1 Reactions
3 Replies
87 Views
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
4 Reactions
27 Replies
483 Views
Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa. Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
7 Reactions
30 Replies
549 Views
Moto umeibuka katika baadhi ya vibanda vya Soko la Machinga jijini Dodoma muda huu. Zimamoto wamefika na wanaendela na zoezi la kuudhibiti moto huo.
10 Reactions
32 Replies
584 Views
Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja: Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
MOSHI, KILIMANJARO. Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa. Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa...
2 Reactions
2 Replies
66 Views
Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika. Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI. PINGAMIZI...
76 Reactions
456 Replies
6K Views
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi...
5 Reactions
29 Replies
342 Views
  • Redirect
EKARI 11 zinatazama lami zipo chanika pugu matumiz makaz na biashara Price bilion 8 🇹🇿Call/WhatsApp +355758844717 #viralvideo #tiktokviral #viral_video_tiktok_treding #realestate #dalali
1 Reactions
– Replies
– Views
Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Good morning Tanganyika! Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi...
79 Reactions
347 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…