NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 148
- 102
Wewe unaolewa liniHmm hongereni!
Hawanitaki mkuuWewe unaolewa lini
Hebu tuone alivyokuwa anafanya😎Fundi mwenzetu alikuwa anaoa, ni mwislam basi washkaji zake akatualika kwenye jambo lake.
Tukapata kanzu za mchongo tukafika eneo husika.
Mimi na wenzangu tukakaa mikeka ya nyuma kabisa, ila mmoja wetu akaenda pale pale wanapochoma ubani
Sasa Kuna maneno Huwa yanatamkwa na mwenzetu yule mtu wa Njombe na kiarabu mbalimbali kabisa.
Sasa sisi hatuna mbavu maana wakifanya hivi yeye anafanya vile
😁
Unakula Hela zao tu unayachuna mabuzi 😁Hawanitaki mkuu
Jambo zuri nadhani umeona Raha ya uislamu kaka uislamu ni Raha basi tu matukio kama hayo ya harusi ni Raha tupuFundi mwenzetu alikuwa anaoa, ni mwislam basi washkaji zake akatualika kwenye jambo lake.
Tukapata kanzu za mchongo tukafika eneo husika.
Mimi na wenzangu tukakaa mikeka ya nyuma kabisa, ila mmoja wetu akaenda pale pale wanapochoma ubani
Sasa Kuna maneno Huwa yanatamkwa na mwenzetu yule mtu wa Njombe na kiarabu mbalimbali kabisa.
Sasa sisi hatuna mbavu maana wakifanya hivi yeye anafanya vile
😁
Ila we dada hua ni mrembo sanaSasa kwanini nyimbo umechagua uke wenza(sio uadui) ?
Atakuja mkristo atasema pia ukristo ni raha.Jambo zuri nadhani umeona Raha ya uislamu kaka uislamu ni Raha basi tu matukio kama hayo ya harusi ni Raha tupu
Seran kua mkweli basi mbona unamuongopea mungu, hawakutaki au wewe ndio una bagua? Unamkufuru mungu seranHawanitaki mkuu
Raha ya uislamu Haina ubaguzi kwenye mambo kama hayo ya harusi, mnakaa pamoja hata na raisi wa nchi mnakula pamoja kwenye sinia inaleta amani sana na umoja na mshikamano, mnacheza pamoja unaenda kula pilau bila kadi au kualikwa hata kama ufahamikiAtakuja mkristo atasema pia ukristo ni raha.
Raha inategemea na mtu mwenyewe.
Mfano mimi kutojihusisha na dini naona ni raha pia kwangu.
Sasa ela tu nazo ndio niingie ndoani mkuu😫Unakula Hela zao tu unayachuna mabuzi 😁
Nimekuuliza unaolewa lini ni swali ambalo pia sitaki mtu aniulize kwamba Unaoa lini?
Mimi sitaki kulazimishwa au kuulizwa hayo mambo sio ya msingi sana! Kujitafutia matatizo tu🚮Badala hata mtu akuulize jambo la maana kwamba utanunua gari au kuwa na jumba la kifahari lini, anakuuliza unaoa lini 👎
Nimembagua nani?Seran kua mkweli basi mbona unamuongopea mungu, hawakutaki au wewe ndio una bagua? Unamkufuru mungu seran
Una pepo sio siri..Ila we dada hua ni mrembo sana
Nilipo kutaka si ulisema mi hapana, sasa mbona leo unasema hawakutaki unajua inshu serious kama hizo kusema hivo inakua sio poa ungesema sijapata nae mtaka ila kutumia neno hawanitaki una Manisha nami sikutaki ilihali mimi nilirusha nanga ukanichomolea mkuu.Nimembagua nani?
Seran_ nimemwambia hivo gia ya kusamehewa alinichukia kisa nilihoji alidai umebaki mwezi mMoja afe mbona bado yupo ikawa ugomvi ilihali alisema yeye mwenyeweUna pepo sio siri..