Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu na wanabodi habari zenu!. Za masiku mengi? Ni muda mrefu sana toka nimeondoka rasmi jijini Dar es salam, na japo huwa nakuja kuja one time huwa inakua ni kwa specific task so naonana na...
0 Reactions
25 Replies
963 Views
https://www.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ Updates.... Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu
5 Reactions
17 Replies
772 Views
Napendekeza umeme uuzwe kwa vifurushi kama vya simu Mfano umeme wa 10,000/= upate unit 30 ambazo unapaswa kutumia ndani ya siku 7 Hii itapeleka umeme unaozalishwa utumike wote na kuacha kama sio...
0 Reactions
22 Replies
853 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum tangu picha mjengeo wa tukio linaloonyesha mwanamke mmoja akimpiga mwenzake ilipoanza kusambaa...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Ni mtoto wa ndugu yangu kamaliza darasa la saba kaja huku kwangu. Hana simu lakini huwa anaazima ya house girl, ni smartphone. Siku ya jana nilitoka kidogo chumbani mida ya saa nane kupiga...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Kuna wakati kama haki hakuna na wanapaswa kutoa haki awazitoi hizo haki ni lazima itumike nguvu ya ziada ili haki ipatikane. Kwahiyo msiseme ni machafuko ni katika harakati za kutafuta haki na...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Nimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers, Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa...
39 Reactions
74 Replies
3K Views
Kamati ya amani ya mkoa wa Mwanza imesema, kwa kushirikiana na serikali pamoja na viongozi wa dini zote nchini, itaendelea kutoa hamasa kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa uhuru na...
3 Reactions
8 Replies
270 Views
Asalaam Aleykhum Warahmatullah, Kwanza natoa pongezi kubwa kwa watu wa Arusha kwa kupendana na kuheshimu jumuia zao wanaita BOMA na RIKA, yaani wanagawana majukumu ya kiboma vizuri sana kwa...
2 Reactions
4 Replies
234 Views
Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika. Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi...
2 Reactions
20 Replies
953 Views
Wakuu Police wetu wengi afya mgogoro na hawana mafunzo ya kutosha ya kukabiliana na waandamanaji. Sasa ebu tupeane mbinu za kuwakabili hiyo tarehe 29.
6 Reactions
24 Replies
783 Views
Leo tupate maarifa kidogo kwenye eneo la kiuchumi. Inawezekana unapitia kipindi fulani kwenye uchumi lakini ufahamu au uelewi kama ni miongoni mwa watu ambao ni watumwa wa kiuchumi...
2 Reactions
1 Replies
253 Views
Tathmini yangu fupi imenipa mrejesho kwamba makundi haya ya watu ndio watakaokua kikwazo katika Siku hiyo pendwa Wafuasi wa mwamposa:_haya ni kama manyumbu, akili zao hazifanyi kazi , yanatenda...
15 Reactions
23 Replies
1K Views
Jana katika pitapita zangu nikawa nimechill mahali. Mbele yangu kulikuwa na kijiwe cha bodaboda, kwa nilipokuwa nimekaa sidhani kama wale boda waliniona. Ghafla akapita mwanafunzi wa sekondari na...
1 Reactions
4 Replies
375 Views
"Wale wanaotamani kuingia barabarani nawakataza, wasithubutu, ni marufuku, wasitoke mtu hata mmoja sababu maandamo bila kibali ni haramu" ACP John Imori.
2 Reactions
19 Replies
451 Views
Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Back
Top Bottom