Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu...
Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika uchaguzi mkuu, zaidi ya viongozi 200 wa dini wa mikoa ya kanda ya kaskazini wameonyana, asitokee wa kuvuruga amani ya nchi.
Akizungumza Oktoba 22, 2025 katika...
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo wamefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 04, 2025 Ikiwa ni pamoja na matembezi mafupi (Route...
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025.
Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya...
GT
Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu.
Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu.
1. January waende la kwanza.
2. January waende form one.
3. January matokeoa ya 7 yatoke.
4. January matokeo...
Pressure cooker ni moja ya kifaa muhimu kwenye mapishi kinachosaidia kupunguza muda wa kupika ikitumia mvuke wenye shinikizo kubwa kupika chakula kwa haraka kuliko sufuria za kawaida.
Faida...
Amani iwe nanyi
Asante sana
Itakuwa rahisi sana kukamatwa na kupigishwa kura kama tutakutana kwenye vituo vya kupigia kura
Tukutane tu barabarani wengine mitaan kwetu tushajipanga tiari tuna...
Madereva wa bodaboda na bajaji wa Wilaya na Mkoa wa Singida wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa kutambua kuwa...
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Alhamisi, Oktoba 16, 2025, kuhusu kupatikana kwa miili ya watu wanne kando ya barabara ya Mapinga, Kibaha miili hiyo ilionekana kuwa na majeraha...
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari...
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote...
Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk.
Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda.
Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi?
=================
Afisa...
Moja ya mikutano muhimu zaidi ya China ulianza Jumatatu ya Oktoba 20, wakati kiongozi wa nchi hii ya pili kwa uchumi mkubwa duniani Xi Jinping na maafisa wengine wa Chama tawala cha Kikomunisti...
Kamati Kuu ya 20 ya Chama cha Kikomunisti ya China (CPC) inafanya mkutano wake wa nne mjini Beijing, mkutano ambao pamoja na mambo mengine ulijadili rasimu ya mapendekezo ya mpango wa 15 wa...
Yaani kama ni mradi basi watu wa TANESCO wanajua kutia hasara. Nitagusia mambo matatu
Kwanza kabisa hawa jamaa wakibakiza vifaa kwenye kazi zao sioni wakivifuata wala kuvitunza. Nyaya kila sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.