Nimejikuta nawaza hivyo. Mawazo yangu yasipigwe rungu. Nieleweshwe kwa upendo!
Dini mbili tu duniani, kati ya mamia ya dini zilizopo mpaka leo, Ukristo na Uislam, waumini wake wanaamini kwamba...
Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi.
Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe...
Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini...
Chukua maamuzi yako miaka ya mbele usije jilaumu.
Hivi ni Vitu ambavyo vinachangia sana watu kutochukua maamuzi na kuja kustuka muda umeenda,
Peer pressura ya kutaka kuishi uendane na marafiki...
Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda.
Ila big...
Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi.
So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii...
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema...
Wakuu,
Kwanza nilikua sijui kama hii jf ishafunguliwa lakini kwa VPN.
Nilikua natafuta sehemu ya kuuliza maswali kama haya nakosa hii nchi haina platform kama hizi.
Turudi kwene mada! Kwa...
Apostle Fadhili tarehe 20 Oktoba, 2025 kuna jambo kubwa litatokea ambapo unabii huu hakuna atakayeweza kuuzuia.
Nilitoa nabii nyingi sana na kuna watu walisema hautotokea lakini nataka nikupe...
Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English
Sio sawa hata kidogo...
Unaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita.
Punguza umbea kazini
Hacha majisifu na...
Wakuu,
Jeshi la Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) limeripoti kukamatwa kwa watu wawili katika eneo la Sinza, Dar es Salaam, wakihusishwa na kiwanda bubu cha kutengeneza biskuti zinazochanganywa...
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;
Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta...
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, imewahukumu vijana wanne kifungo cha miaka saba jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujaribu kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo, huku...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.