Kuna dogo mmoja kiukweli ni muhuni ni level za ujambazi kabisa akitoka akirudi anarudi na simu kubwa nyingi kijiweni ni kuziuza tu elfu 50 ila hauzii mtu anaemjua ni wageni tu
Siku moja kijiweni...
Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂"
================
Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya...
Mtemi wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili mkoani Mwanza Shaban Ramadhan amekemea vikali tabia ya baadhi ya waganga wanaojihusisha na vitendo vya ukatili, ikiwemo wale wanaopiga ramli chonganishi...
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI.
Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida...
Hii namba imesajiliwa kwa jina la AMINA DILUNGA, kazi Yake kutuma message za kitapeli kwamba kakosea muamala.
Nilichokiona Hadi leo Kuna watu wanaamini maneno ya Hawa matapeli.
Elimu za vijana...
https://youtu.be/cqmzkrsfmc8?si=X5ZcK5UxpDchM6nz
Hivi ni kwa nini serikali zetu hazijali wananchi? Hadi serikali ya kata? Hili tukio la Mbeya linaonesha madhara ya serikali kutojali wananchi...
Shirika Ia Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuhusu ajali ya treni ya EMU iliyokua ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi Oktoba 23, 2025
Taarifa ya TRC...
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu.
Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar...
Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki
Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia...
Kwa mujibu wa Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (Universal Declaration of Human Rights – UDHR) — lililopitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 10 Desemba, 1948 — kuna makala 30...
Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..?
Kwasababu...
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji...
Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo...
Timu maandamano bwana
Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari...
Mratibu wa Polisi Jamii Wilaya ya Ukerewe, Mkoani Mwanza, SP Raphael Ganchira, ametoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Bwilo kuhusu umuhimu wa kutunza amani.
Akizungumza katika mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.