Mtandao wa TTCL Fiber upo down

Mtandao wa TTCL Fiber upo down

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,382
Reaction score
3,217
TTCL fiber imekatika sasa ni siku nzima, hawapatikani kujibu wala hawatoi taarifa.

Watu wanafanya biashara zao kutegemea mtandao na tumefunga kwa gharama kubwa ikiwemo kutoa hongo maana ni watu wa hovyo.

Sasa huduma inakatakata kila mara. Reliability 0. Watu wenye biashara zetu tunategemea mtandao.

Nitawashitaki naona imekuwa too much.
 
Mtu uliye serious na kazi zako umeanzaje kutumia huo upuuzi?
 
Back
Top Bottom