Lipi la Kweli Kuhusu Brigedia Mosses Nnauye?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
 
Alikuwa mshauri wa mambo ya siasa wa rais Mkapa, akichukua nafasi ya Ngombale Mwilu aliyewekwa kando na mzee Mkapa baada ya kumpotosha juu ya watu fulani (group interest).
Baaday Brig Nnauye akaanza kuumwa umwa na akaamua kukaa kando baada ya afya yake kuanza kuzorota.
Alifariki aiwa hospital ya Lugalo(kama sikosei) baada ya kuumwa kwa Muda mrefu.
Katika kipindi chote cha kuumwa kwake YusufMakamba ndiye alikuwa mtu wakke wa karibu sana na hata msiba ulifanyika nyumbani kwa Makamba.
 
Jamani mnahangaika nini wakati kinda lake limo humu humu jf, si mmuulize tu atujuze ukweli wote?
 
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
Huyu mzee ni kama alikufa kifo cha kawaida kutokana na kuugua. Hizi habari nyingine ndo nazisikia leo hii
 
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
Alikufa baada ya kuugua muda mrefu.........inasemekana aliumwa gonjwa baya ambalo rafiki yangu wa Msoga naye analo
 
Alikuwa mshauri wa mambo ya siasa wa rais Mkapa, akichukua nafasi ya Ngombale Mwilu aliyewekwa kando na mzee Mkapa baada ya kumpotosha juu ya watu fulani (group interest).
Baaday Brig Nnauye akaanza kuumwa umwa na akaamua kukaa kando baada ya afya yake kuanza kuzorota.
Alifariki aiwa hospital ya Lugalo(kama sikosei) baada ya kuumwa kwa Muda mrefu.
Katika kipindi chote cha kuumwa kwake YusufMakamba ndiye alikuwa mtu wakke wa karibu sana na hata msiba ulifanyika nyumbani kwa Makamba.
Asante. But then who is the DON? If you are a consigliere?!
 
Alichakanua sana nje ya ndoa ndo Nape akawa zao la huo uchakanuaji,Illegitime Son
 
sifa yake kubwa huyu mzee alikua mlevi na mchakachuaji balaa!wake na watoto kibao kila mkoa alipopita
 
Back
Top Bottom