Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,
ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani...
Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa.
Itikadi zao zimezijenga...
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)...
Samson Josiah enzi za uhai wake.
Siri ya mauaji ya watu na miili yao kukutwa kwenye viroba kando ya bahari na mito imefichuka na kuibuka na siri.
Afisa mmoja wa serikali ambaye aliomba jina lake...
Tanzania inatarajia kupata mvua kubwa zitakazodumu kwa kipindi cha siku tatu kwenye ukanda wake wa Pwani kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba., kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini humo (TMA)...
Wakuu,
Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana?
Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025...
Nkosana Makate ni raia wa Afrika Kusini ambaye alivumbua huduma maarufu ya ‘Please Call Me’ ama ‘Tafadhali Nipigie ‘, uvumbuzi ambao mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani kufuatia kutokukubaliana...
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo...
Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura
Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti...
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili...
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini...
Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni...
Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au...
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini...
Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito
Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani
Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi...
Wanabodi,
Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000...