Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Historia: Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa siku tano mfulilizo watanzania wakiuwawa kwa kupigwa risasi na Abdul na mama yake Samia lakin hakuna hata radio station moja iliyosema...
3 Reactions
14 Replies
412 Views
UKWELI NI KWAMBA KUMBE INAWEZEKANA. Kufuatia Vurumai zilizotokea mara baada ya uchaguzi Mkuu kuanzia Octoba 29 mpaka hivi leo nimejifunza mambo kadhaa kwangu na kwa wengine. 1. Kumbe sisi...
2 Reactions
9 Replies
652 Views
Polisi huyu mbele ya waziri anadai mshahara wake ni mdogo kiasi cha kuzidiwa mara mbili na mkewe ambaye ni mwalimu huku akihisi kuwa huenda ni laana iliyopelekea kulaaniwa :AAAA::AAAA:
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho, Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni. Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025 Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo. Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano...
6 Reactions
23 Replies
772 Views
Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF.... Hii ni mpaka lini?
6 Reactions
16 Replies
878 Views
Siku ya Uchaguzi Mkuu 99% ya Watanzania walikuwa wakilisifu Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ushahidi mwingi tu wa Video mbalimbali upo na cha Kushangaza sasa baada ya jana Rais Samia...
1 Reactions
16 Replies
553 Views
Mbona TikTok haifunguki tena? na Facebook pia bado hawajaridhika?
0 Reactions
5 Replies
230 Views
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza...
46 Reactions
204 Replies
44K Views
Hapa ninajua Historians tu kama Mimi tutaelewana ila Timu Hasira, Mihemko na Uzushi hawatanielewa na Watanitusi.
1 Reactions
8 Replies
212 Views
Habari wakuu, Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu...
4 Reactions
11 Replies
554 Views
Ni heri tungeendelea kuuliwa na ndugu zetu askari wa jeshi letua polisi au JWTZ .
5 Reactions
8 Replies
555 Views
Mwana dada machachari mitandaoni anayejulikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META. Mange...
21 Reactions
135 Replies
10K Views
GT. Kwamba nyakati kama hizi za digital age na hii ndo ahadi ya mgombea aha ha 😆 😄 😅 🤣 . Ivi tutakuja kurusha satellite kweli.
7 Reactions
17 Replies
954 Views
Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu...
3 Reactions
19 Replies
876 Views
Habari za muda huu wajuzi wa mambo. Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali. Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti...
2 Reactions
10 Replies
582 Views
Habari wakuu , Poleni na maandamano yanayoendelea Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ? Maana kuna mtu...
1 Reactions
11 Replies
736 Views
Back
Top Bottom