Kufuatia Vifo Vilivyotokea Wakati wa Kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 nchini Tanzania
Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo Amewaomba na kuwaalika...
Msaada kisaikolojia tafadhali!
Leo niliitwa na mmoja wa waalimu wake kuwa kuna safari wanafunzi wanapaswa waende wiki hii inayoanza. Mwalimu wake alinikuta na watu wa3 tulikuwa tunazogoa...
Miaka michache nyuma tuliogopa sana kifo, Ni dhahiri kuna wenzangu na mimi ambao tulikuwa hatuna hata ujasiri wa kushuhudia maiti kwa macho.
Uongozi huu umefanikiwa kutubadili kwenye roho, Kutoka...
Habari!
Twende kwenye hoja.
Mateja au kuongezeka kasi ya matumizi ya madawa ya kulevya serikali ndio chanzo kikuu.
Kwanini niseme serikali ndio chanzo kikuu cha tatizo hili?
Serikali ndio...
Hili Mama Tibaijuka alionya namimi ninaonya Pia
WAASI na MAGAIDI ni Watu HATARI sio Nchini ila kwa Dunia nzima
Kwanza Muasi ni Mwananchi au kiongozi ambaye anapingana kabisa na Utawala au...
Kuna askari fulani nimekutana nao ununio njia ya beach, bila shaka Hawa ni dully army!!. Kwa jinsi walivyo nafikiri ni heri ukutane na ibilisi mtoa roho kuliko kukutana na hiki kikosi kazi cha...
Asalaam Aleykhum Warahmatullah..
Leo hii kuna doria ya Jeshi yaelekea kuna wahalifu wameshawatukia, kwasababu inapita kimo cha chini na ni muda wote tangu asubuhi mapema
Ni maeneo ya Mt. Meru...
Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi...
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka...
Kwanini shetani akitaka kuharibu jamii aanze na mwanamke? kwanini si mwanaume au watoto na jamii nyinginezo? ni kitu gani ndani ya nafasi ya mwanamke kinachomfanya kuwa mlango wa jamii aidha kwa...
Uongo imekuwa siyo tu tabia ya viongozi na serikali imegeuka kuwa sehemu ya maisha yetu. Hii ndiyo sababu tumefika hapa tulipo: taifa likiendeshwa kwa hila na uongo badala ya ukweli. mfano ni huu...
Dar ni automatic sauna
Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni...
Tumeona taasisi mbalimbali ,wasanii ,wanasiasa ,viongozi wa dini na watu mbali mbali wakitoa pole kwa maelfu ya watanzania waliopoteza maisha 29 na 30 October 2025 .
Pia kuna kundi ambalo mali...
Nashangaa watu wanalamika mbona vyombo vya habari na watu wengine wapo kimya na wakati kitendo kilichofanyika ni uhalifu.
1. Kuchoma vituo na mabasi ya mwendokasi ambayo hata wewe unayatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.