Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka...
2 Reactions
6 Replies
641 Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa...
1 Reactions
6 Replies
331 Views
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani. Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari. Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania, lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani...
4 Reactions
6 Replies
289 Views
Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho...
6 Reactions
10 Replies
588 Views
Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio. Je maumivu...
5 Reactions
21 Replies
565 Views
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike...
1 Reactions
9 Replies
390 Views
Kuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Hivi ni mimi tu ndio siwaoni hawa jamaa zetu? Tangu uchaguzi uishe sijaona kabisa polisi mwenye nguo nyeupe. Hata kama watakuwepo, nadhani wamekuwa hadimu sana hawa ndugu zetu watoza ushuru kwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
“Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa mujibu ya moja wa shuhuda aliyepo eneo la tukio, wakazi wa mbezi ya kimara,wameliamsha dude usiku huu wakidai miili ya wapendwa wao ambao mpaka sasa haijulikani ilipo.
15 Reactions
122 Replies
6K Views
Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya. Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimekaa nikachunguza kwa makini nimegundua kuna kundi kubwa la wasanii linajutia kuunga mkono ccm badala ya wananchi . Hapa sana sana nawalenga haswa wale wasanii wa low class ambao walitumika...
11 Reactions
12 Replies
641 Views
Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani Vimewaponza kwa kupoteza maisha Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu...
8 Reactions
16 Replies
638 Views
Wakuu Hatimaye Wizara ya Elimu imetoa tamko rasmi kwa vijana wa vyuo kurudi masomoni Taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 8, 2025 kupitia mitandao ya kijamii ya wizara ya elimu Tanzania inaeleza...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania.. Inanifanya...
3 Reactions
8 Replies
274 Views
Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia. Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na...
1 Reactions
4 Replies
323 Views
  • Poll Poll
Jk amekuwa akielezewa kama mtu asiyehusika na ufisadi na mikataba ya madini.Hata vyombo vya habari vilinukuliwa vikisema kuwa waziri wa nishati na madini alisaini mkataba mpya pasi na rais...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom