Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000
Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu
Tundu...
Sasa kama ujafurahishwa mbona umefika huko Bungeni? au unatuletea unafiki wako hapa!
Wewe kama umeona kuna hali mbaya kwa Watanzania wakati huu ungekataa, ila ukakubali kabisa na kufika hadi...
Viongozi wa Tanzania wamejisahau aidha kwa kujiona wao ndiyo wanafaa kuishi maisha mazuri kuliko waliowaweka kwenye nafasi husika aidha kwa kukodi za wananchi au kura za wananchi.
Viongozi wengi...
Kwa nilichokiona kilichotokea tarehe 29 na kuendelea ni mjinga pekee atakaeandamana tarehe 9 bila kuwa na bunduki kiunoni Bora nilale Afrika hamna Cha maandamano ya amani nashangaa majitu yanasema...
Miaka mingi iliyopita nilikua naishi mbali na nyumbani sababu ya masomo, ghafla nikawa kila nikilala namuota kaka yangu na nikiwa kwenye ukimya nasikia sauti yake.
Siku moja, nimeamka tu...
Chiefs heshima kwenu...
1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe.
2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza...
Ubalozi wa Sweeden kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii wameandika kuwa;
We stand behind the call for jusice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing.
…...
Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu.
Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa ameeleza kuwa nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu na kuwa haina sababu kuhitaji kujua nani amesabibisha hayo bali ni...
Huyu jamaa ni zezeta na pevert, anaandika upumbavu sana mtandaoni, kuhamasisha usodoma(mapenzi kinyume na maumbile), ufuska, ngono kwa watoto
nafikiri LHRC walishamkemea wakabezwa, hata Waziri wa...
Imagine taasisi au mtu wako upande wa mtesi wako baada ya kumu'cancel na kumignore huyo mtu unaenda kumjazia comments za matusi kwenye page yake.
Hata humu ndani mtu threads zake huzielewi ignore...
Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo Novemba 10, 2025 ameahidi kuongeza maradufu pensheni kwa Wazee Wastaafu kuanzia miaka 70 visiwani humo.
"Wazee wote...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea...
Kumekuwa na hukumu nyingi sana kutoka kwa watu wa Dini mbalimbali. Mru anatumia Dini yake kukuhukumu wewe, lakini anasahau kuwa wewe sio muumini wa Dini yake au Dini inaweza kuwa ni moja ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.