Kipindi hiki cha uchaguzi pesa zinamwagwa si mchezo ili kuhakikisha mama yule anapita kwenye uchaguzi mkuu japo hakuna anayeshindana naye.
Utu umewatoka wasanii na machawa wa ccm kujifanya...
Rest in Heaven ndugu zetu,Damu zenu zikalie masikioni mwa Mwenyezi Mungu.
Kama taifa tulishakosea kitambo sana, kuna mambo yalianza Kama utani ila kwa sasa ndo tunavuna matendo yake na...
Kupitia taarifa yao kwa umma CHADEMA wameonesha masikitiko yao na hofu kufuatia kukamatwa kwa viongozi wake wa juu.
===
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda...
azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni...
huwa ana maneno makali sana dhidi ya watawala hiyo picha kaipost jana uyo mdada mwanahabari
Pamoja na yote mbona hayupo list ya wale 10 most wanted in TZ
Habari za jumapili Wana bodi!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimejaribu kuwaza hivyo, je tutarajie jambo kama Hilo kwa miezi mitatu ijayo?
Ipo wazi, impacts za Oct 29,2025 hazitoonekana...
Nipo mkoa huu takribani mwaka wa tatu huu, itoshe kusema huu mkoa ni balaa nikilinganisha na Dsm mkoa ambao nilizaliwa nikasoma hatua zote za elimu hapo.
Huku ukijichanganya kutaka kufanya jambo...
Yer 46:11 SUV
[11] Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe.
Hukumu hii ilikuwa kwa Misri, nikimwanisha andiko hili...
Naomba watanzania wenzangu muifuatilie hii redio maana inatoa habari ambazo ni za uwazi na lugha wanayoitumia ni Kiswahili, unaweza kuhisi ni redio ya Tanzania kumbe ni ya Kenya.
ASANTE KENYA
Ulinganishi wa huduma ya kupokea mzigo kupitia speedaf na posta...Kwa mtizamo wangu speedaf wako vizuri inachotakiwa waboreshe huduma zao . AliExpress naona wameamua kufanya kazi na speedaf...
Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au...
Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako.
Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili...
Kuna moshi unafuka. Trust me. Gen-z kazeni hapo hapo na ongezeni umakini msikae kizembe.
Baada ya kudis-arm wajeshk nataarifiwa alternative imepatikana. Ni wao au sisi. Full stop.
Hata wazee...
Miaka ya nyuma enzi za utawala wa Mkapa kulikuwa na mauaji ya wachawi na vikongwe. Ukionekana una macho mekundu unauwawa kwa kuchomwa kwenye nyumba kwa sababu unahisiwa ni mchawi.
Wakati huo Kuna...
Habari wakuu naombeni mnijuze nchi gani kati ya hizi zina uhaba wa watu na hasa watalaam wa fani mbalimbali na ukienda tunaomba uraia ni chap tu unapewa
Kati ya Australia, Papua New Guinea, New...
Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Gafra akatokea nyoka wa...
Watanzania wenzangu habari!
Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.