Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima?
Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi
Vijana walikuwa hawana nguo...
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye...
Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba...
Kuna hekima ya kiafrika inayosema:
"Kama nzi hawagusii nyama, basi kuna jambo."
⚠️ Usinunue nyama ambayo hata nzi hawavutiwi nayo. Inawezekana imewekewa kemikali, imechakachuliwa au haifai kwa...
Mapendo Daima.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa...
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar amesema yuko tayari kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya kazi na upande wa upinzani.
Mwinyi ametoa matamshi hayo wakati wa hotuba yake ya kulifungua...
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa
Kuchonganisha familia za watu kuwa...
Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
Habari wanaJF,
Ni siku nyingi sana sijazungumza humu. Nimekuwa tu zangu macho kufuatilia matokeo ya uchaguzi na ghasia na fujo zilizotokana na uchaguzi huu. Jamani, Mungu awape utulivu...
Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu...
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!
Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.
Kwenye...
Vijana msishindane na serikali, mtulie, fanyeni kazi mule ugali na familia zenu
Siku ya maandamanlo ya tarehe 29 wengi waandamanaji walikuwa vibaka na wezi na ndl sababu wengi waliiibiwa
Sasa...
Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa wote waliopoteza wapendwa wao na kwa wale walioathiriwa na matukio ya hivi karibuni baada ya uchaguzi.
Katika kipindi hiki kigumu...
Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi
Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi...
"MIMI NASHAURI SIKU YA UHURU MWAKA HUU SERIKALI ITOE TAMKO SIKU HIYO HAKUNA MTU KUTOKA NDANI KWA USALAMA ZAIDI," Oscar Oscar
Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi, hivyo kama una Mihasira yako...
Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana.
Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi...
Serikali mkoani Tanga imesema imeshaanza mchakato wa kufanyiakazi ahadi za Rais Samia Suluhu Hassani alizotoa wakati wa kampeni zake mkoani humo,ikiwemo ya kusaidia vijana ajira,na kujiendeleza...
WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA
Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.