Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Tadesa Limoli [32] raia wa nchini Ethiopia na wenzake 37 wote wanaume kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria. Watuhumiwa walikamatwa mnamo...
0 Reactions
12 Replies
456 Views
Asalaam Aleykhum Warahmatulaah Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa...
4 Reactions
3 Replies
248 Views
Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Maandamano haya yameweka historia mbaya sana kwa watanzania! Yamechukua roho za watu kwa watu kuuwawa, yameharibu ajira za watu, na biashara. ============ Zaidi ya Magari 34 ya usafirishaji katika...
1 Reactions
4 Replies
375 Views
Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake. Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa...
10 Reactions
83 Replies
2K Views
Baada ya issue za maandamano kuisha na hali kuanza kurejea kawaida naona huku mitaani kwa sasa watanzania tunaheshimiana sana. Kuna watu walikua hawatoi hata salamu kwa majirani zao ila sasa hivi...
5 Reactions
4 Replies
277 Views
Polisi huwa anapiga risasi maeneo ya chini kuanzia kiunoni kushuka chini ili kumkamata mharifu Nikiangalia video za watu waliopigwa risasi nimejiriddhisha kwamba kulikuwa na snipers aka...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Tena zaidi kwa system yetu ya elimu ya Kitanzania ambayo wahadhiri wanafanya kila jitihada somo liwe gumu, yaani hata chuo kinasifiwa kwa ugumu, just imagine. wanafunzi wengi wa vyuoni...
0 Reactions
4 Replies
217 Views
Wakuu, Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Ukitenda Kama inavyotenda Serikali na maroboti wake " UNAKAMATWA"
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Yer 48:29 SUV [29] Tumesikia habari za kiburi cha Moabu; Ya kuwa ana kiburi kingi; Jeuri yake, na kiburi chake, na majivuno yake, Na jinsi alivyotakabari moyoni mwake. Moabu lilikuwa ni taifa...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29, Mama...
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia...
2 Reactions
5 Replies
340 Views
Wazazi waliokuwa wanachepuka, ndio wanazaa watoto wenye matatizo. Vijana wote wasio na mchango kwenye Taifa na wale wanaotukanana Mtandaoni, wazazi wao walikuwa Wazinzi, Washerati Washerati na...
4 Reactions
14 Replies
624 Views
Muonekano katika eneo la Sinza, Africa Sana mara baada ya mvua kubwa kunyesha.
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Nadhani mmeona kilichotokea tarehe 29 mpaka tarehe 3 Sasa nimeona watu wanasema eti tarehe 9 wanaenda kuchukua nchi yao my friend tanzania jeshi lipo na mtawala polisi wapo na matawala usalama wa...
9 Reactions
37 Replies
806 Views
Usiweke mipango mingi ya maisha Usiwe na mategemeo mengi maishani Watu wanakufa na mipango Yao kibao Furahia kila siku ya maisha yako Tunaishi kila siku siku tunakufa siku moja
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetangaza maombi ya siku saba kuombea walioathirika na yaliyotokea siku ya uchaguzi, huku likitoa wito kwa serikali kuwatendea haki raia wote...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
Back
Top Bottom