Wakuu,
Jamii forums ni jukwaa huru nchini tanzania,lililoanzishwa kwa ajiri ya washirika(members) kupashana habari zinazohusu taarifa za habari, matukio, burudani, michezo, mapenzi nk
Katika...
Uwepo wa mashine za kukunia nazi na tui la viwandani, limechangia wakina mama wamepoteza umahiri wa kuandaa baadhi ya vyakula.
Hawawezi tena kukuna nazi kwa kutumia mbuzi kiufupi haichekeshi...
Hello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything...
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki.
Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika...
video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi...
Habari zenu Wana-jamiiforum?
Moja kwa moja kwenye mada, kuna minong'ono mbalimbali kuwa kuna nguvu fulani fulani zinazoweza kubadilisha hali ya kitu, kuleta maafa, kuleta bahati, au kuamua...
Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu...
JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu...
Akizungumza mara baada ya jina lake kupitishwa rasmi na Wabunge kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchema amesema kuwa anatambua uzito wa majukumu yaliyoko mbele...
Namibia imekuwa mfano kwa jinsi nchi inavyoweza kuonyesha nidhamu ya kifedha kwa vitendo. Hatua ya hivi karibuni ya serikali ya Namibia kulipa deni la Eurobond lenye thamani ya dola milioni 750...
Nina furaha sana leo kuona ndoto za Rais wa mawe kua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania zimezimika rasmi leo, apambane na hali yake miaka hii mitano, apumzike siasa akale alichotuibia sasa...
Maandamano yanakuja na mengi ili kufikisha ujumbe mda mwengine.Kwangu mimi nimefatilia matukio mengi japo sikutaka kuchukua matukio nikiwa kazini kwa yaliyotokea october 29 ila nilichokiona kwa...
Kundi la Watu waliovaa nguo nyeusi wenye lafudhi ya Kizanzibar walivamia nyumbani kwa huyu mtoto wakaingia ndani wakamkuta mama wa mtoto akipika wakamuuliza baba wa mtoto yuko wapi, kabla yule...
Ambao wana nafasi ya kukusaidia ndiyo watakuangusha na kukurudisha nyuma kwenye mapambano yako.
Wanasiasa wetu (hasa wale wenye tabia ambazo baba wa taifa aliziita za kimalaya malaya) ni adui...
Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani
Uchambuzi wa...
Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE:
Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki
-------------
Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam...
Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha...
Wakati wewe unamtazama mtu anayenyeshewa na mvua unamuona akisikia baridi na mateso.
Lakini ukweli ni kwamba huyo mtu wala hapati shida na ndo maana hata hakimbii bali ni anatembea tu.
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.