Inawezekana wengi wameuliwa na wadunguaji

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,077
Reaction score
5,993
Polisi huwa anapiga risasi maeneo ya chini kuanzia kiunoni kushuka chini ili kumkamata mharifu

Nikiangalia video za watu waliopigwa risasi nimejiriddhisha kwamba kulikuwa na snipers aka wadunguaji maana wengi wamepigwa risasi za kichwa na mara nyingi hii hufanywa na wadunguaji ambapo dhamira yao nikuua tu bila kujali.

Huenda wadunguaji walilichukulia nchi jirani au ni hawa hawa JW mnaowaamini sana.

Maandamano ya 9/12 watu muwe makini sana lasivyo watapotea wengi zaidi.
 
Na wamepigwa sehemu za juu za vichwa, ina maana wana walikuwa wanapanda kwenye majengo na miti na wengine walikuwa juu ya magari..
Tatizo maarifa hawana unapopanda just ya gari unakuwa umempa wepesi akutungue vizuri
 
Mdogo wangu sijui unashida gani, nakuona umekuwa mtukutu sana kwa watanganyika wenzako

Watu wanamachungu lakini kutwa nzima ni kuwaita manyumbu,it's not right

Ebu jitafakari kidogo
Wakati wanaiba na kuharibu mali za watu walikua wanacheka ni haki yao kulia sasa
 
Polisi huwa anapiga risasi maeneo ya chini kuanzia kiunoni kushuka chini ili kumkamata mharifu

Nikiangalia video za watu waliopigwa risasi nimejiriddhisha kwamba kulikuwa na snipers aka wadunguaji maana wengi wamepigwa risasi za kichwa na mara nyingi hii hufanywa na wadunguaji ambapo dhamira yao nikuua tu bila kujali.

Huenda wadunguaji walilichukulia nchi jirani au ni hawa hawa JW mnaowaamini sana.

Maandamano ya 9/12 watu muwe makini sana lasivyo watapotea wengi zaidi.
Nigaa pls, humu ndani ni formers members na active members wa securoty forces

Suala la kusema police hawawez kulenga sehem inayomaliza mtu ni nani ww?
They trained for that kwa ataarifa yako tu

You dont have to be a sniper, and sniper hawapigi watu hovyo, huwa wana objectives, target , hvts

Rudi tena kasome, hoja yako ni very weak
 
Kikosi kazi maalumm toka Kmkm na magereza na polisi kazi wameifanya ila over work wameua ovyo wanawapa kazi ya ziada maboss zao inshort wameharibu ila wao hawana makosa wamepewa ruhusa ya kuua ila hawajapews idadi
 
Wakati wanaiba na kuharibu mali za watu walikua wanacheka ni haki yao kulia sasa
Waeuwawa wakiiba mali aya izo mali zipo wapi si mwizi mshamzibiti acha uchoko tunajuwa unalipwa ila usiover work
 
Nigaa pls, humu ndani ni formers members na active members wa securoty forces

Suala la kusema police hawawez kulenga sehem inayomaliza mtu ni nani ww?
They trained for that kwa ataarifa yako tu

You dont have to be a sniper, and sniper hawapigi watu hovyo, huwa wana objectives, target , hvts

Rudi tena kasome, hoja yako ni very weak
Wengi wana piga mijusi kipindi cha shabaa ni wachache sana wana shabaa wew mtu ana pigwa sikion kwa shabaa ipi
 
Ila Nyumbu, kweli nyumbu ni chakula cha mamba
20250917_185713.jpg
 
Polisi huwa anapiga risasi maeneo ya chini kuanzia kiunoni kushuka chini ili kumkamata mharifu

Nikiangalia video za watu waliopigwa risasi nimejiriddhisha kwamba kulikuwa na snipers aka wadunguaji maana wengi wamepigwa risasi za kichwa na mara nyingi hii hufanywa na wadunguaji ambapo dhamira yao nikuua tu bila kujali.

Huenda wadunguaji walilichukulia nchi jirani au ni hawa hawa JW mnaowaamini sana.

Maandamano ya 9/12 watu muwe makini sana lasivyo watapotea wengi zaidi.
naunga mkono wazo lako.
 
Nigaa pls, humu ndani ni formers members na active members wa securoty forces

Suala la kusema police hawawez kulenga sehem inayomaliza mtu ni nani ww?
They trained for that kwa ataarifa yako tu

You dont have to be a sniper, and sniper hawapigi watu hovyo, huwa wana objectives, target , hvts

Rudi tena kasome, hoja yako ni very weak
Wengi wanasoma tu taarifa hawakushuhudia.

Pale Big brother palimwagika damu sana Cruiser moja ilisimama kwenye ile barabara ya kwenda Tandale na Alphard moja ilisimama kwenye barabara ya kutokea Manzese kuingia Mabibo sokoni walikua wanamimina risasi kama hawana akili vile ndani ya muda mfupi palitapakaa miili.

Ila wafyatuaji risasi ni watu wanaonekana wazoefu wa kutumia zana.
 
Back
Top Bottom