Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi...
50 Reactions
123 Replies
6K Views
So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ? Tutakufaaaa...
2 Reactions
19 Replies
921 Views
Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi. Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana...
27 Reactions
123 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa na hofu sana juu ya wale watoto wanaoishi katika mazingira magumu pale ubungo hadi kimvulini Ukweli baada ya zile mbilinge za 29 October hasa kivumbi kilivyonuka pale ubungo...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Professa Lumumba " Rais wa Tanzania ametangazwa kuwa mshindi kwa zaidi ya asilimia 90 ya kura, lakini anapaswa kukabiliana na kilichotokea kwa kujihusisha na upande wa upinzani. Wao pia wana...
4 Reactions
14 Replies
484 Views
Pro-mfumo mbovu .Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa. Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na...
3 Reactions
8 Replies
379 Views
Raha ya ushindi ni kufurahi pamoja na waliokuunga mkono katika kuupata ushindi. Kunakuwa na vibe au hype fulani hivi ya kipekee pale unapokula kiapo , nyomi la raia wakishangilia kwa furaha na...
2 Reactions
9 Replies
418 Views
Jina kamili: Dawson Dominic Mwesiga Umri: Miaka 24 Tarehe ya kuzaliwa: 24 Desemba 2000 Namba ya simu aliyokuwa akiitumia: +255 752 968 227 Mara ya mwisho kuonekana/mwasiliano: 29 Oktoba 2025, saa...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu...
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu...
13 Reactions
39 Replies
1K Views
Hii imetutokea kwetu baada ya mtoto kwenda kusoma USA mambo ya engineering kaishia kuwa DJ wa maclub. Leo naona vijana wengi wamemaliza shule na kuwa na ndoto za kusoma vyuo ambavyo wajafika...
12 Reactions
85 Replies
4K Views
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja. Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba...
11 Reactions
49 Replies
1K Views
Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba, Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar Huyu bwana ukimweka...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa unyenyekevu na heshima kuu, sisi raia wa Tanzania tulioungana kwa amani na imani, tunatoa salamu zetu za dhati kwa Kanisa Takatifu la Roma na Kanisa Katoliki kwa ujumla. Hatujihusishi na chama...
5 Reactions
10 Replies
680 Views
Wewe max Mello Kwanini unatujazia matangazo ya mix by Yas? Yani kila Kona mixx by Yas ni Nini hii Mimi kama active member nasema toa mara moja Rudisha Yale ya kubeti
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna taarifa ya muda mrefu kwamba Museven ana shamba la Ng'ombe ( ranch ) ndani ya Tanzania kwenye maeneo hayo ni shamba kubwa sana inaonekana ameingia Tamaa anataka kuchukua eneo ili hao ng'ombe...
5 Reactions
18 Replies
648 Views
Ilikua siku ya tarehe 30 October tukiwa tu mtaani kwetu Kimara Suka karibu na kanisa katoliki la Mavurunza. Mimi nikawa nimetoka kwenda kwa Mangi shop kununua bidhaa fulani. Kabla sijafika pale...
23 Reactions
50 Replies
2K Views
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imesema ipo haja ya kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa yenye kujumuisha wadau mbalimbali ili kufanya tathmini ya matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu na...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Good Commons imejitolea kukusanya euro milioni 1.5 kusaidia jamii mbalimbali duniani ambazo zinaunda upya namna teknolojia inavyohudumia umma. Tofauti na kampuni kubwa za teknolojia na mifumo...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Back
Top Bottom