Habari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so...
Robert Mugabe made that demand 10 years ago. Last week world leaders gathered in New York for the 81st UN General Assembly, the same fight is still unfinished.
Africa has 54 UN member states ...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuona utekelezaji wake akielekeza maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wananchi wa Mavuji iwe siku Saba tu.
Mhe. Aweso akizungumza na...
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine.
Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na...
Ifike hatua kuwe na elimu juu ya Afya ya Akili haswa mashuleni,kizazi cha great thinker’s kinaenda mlama.
Mbaga Jr imagine jitu linaingia jukwaani kutoka huko Mavanga linakuja kwenye jukwaa...
Habari za muda huu wana-JF,
Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.
Kama unajiamini yai...
Kuna wale wakaguzi wa kilichopelea. Kwa kila simulizi wanakuja na ushahidi wa kile ulichokisahau:
‘Jamaa ni mtu mwema sana. Napenda anavyojiongeza akisikia shida ya mtu’—ndio lakini ana tatizo...
Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana...
Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy).
Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma...
Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes...
Heshima kwenu wakuu!
Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa...
Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa...
Lockheed SR-71 Blackbird ni mojawapo ya ndege za ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa. Ingawa watu wengi huiita ndege ya kivita, ukweli ni kwamba ilikuwa ndege ya upelelezi (strategic reconnaissance...
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao)
Mfano una shida...
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui...
Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu.
Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka...
Hellow Great Thinker!!!
The LORD is good...
Wakuu hii hari ya kutoka jasho ukiwa comfotable ina maanisha nini?
..... Yani umetulia zako unaona kiubalidi kinatekenya kwenye msuli, una cheki kumbe...
Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka...