1. Rais anatoa order watu washambuliwe kwa risasi za moto.
2. Kwa siku nne mfululizo anakaa kimya wakati unyama huu unatekelezwa huku akipewa updates kila kukicha.
3. Siku ya tano anamwagiza Waziri wake wa Mambo ya Nje aende kwenye media kusema hakuna taarifa za vifo, ni vibaka wachache tu wasiokuwa wazalendo.
4. Muda kidogo anamtuma Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam kwenye media kusema “wananchi wasipokee taarifa zozote isipokuwa zile zinazotolewa na serikali tu.”
5. Muda kidogo analiagiza Jeshi la Polisi kutoa onto kwa wananchi kuacha kuangalia video za ushenzi walioufanya wala kuzisambaza; yote haya anayafanya kabla hajafungua mtandao.
6. Baada ya maelfu kuuawa, anaibuka siku ya tano na kuvishukuru vyombo vya usalama “kwa kuhakikisha waliouawa hawazuii zoezi la kupiga kura.”[emoji848]
7. Siku ya sita anasimama kwenye podium mbele ya umma na kusema “protesters aliowaua ni watu kutoka nje ya nchi,” just like that. Anaendelea kutoa ONYO na kutunisha kifua.
8. Wiki mbili baadae baada ya kuagiza maiti zisombwe na kutupwa kwa Siri na kujiaminisha kwamba ameshacontrol damage vya kutosha, anasimama tena na kusema “nimeumizwa sana na mauaji, tusimame kuomba.”
Huyu ni mtu au pepo?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]