Tiktok kutoka kuwa ukurasa wa kudance tu na challenge za ajabu ajabu hadi kuwa kitovu cha kuikomboa nchi
Sasa hivi Tiktok, Jamiiforum, X na Instagram zimegeuka kuwa chachu za kuleta ukombozi...
Habarini wanajamvi LA jamiiforums
Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani?
Akina nani in wausika was kutolewa kafara?
Msaada wa majawabu...
Waoneeni size yenu Chadema
Huko mnakokwenda sio
Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli
Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya...
Kuna wakati trump aliwa diss sana sana UN, ni namna gani wapo bias na wanafiki
Sasa ndio naelewa kwanini
This is what we call paid activism, wanafurahia pesa za mafuta hawa🚮🚮
Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa?
Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu...
Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza...
Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya...
Tuna tatizo kubwa sana pale tunapo kosea kufikiria ni wapi pa ktupia lawama, kusingizia, kubana ukweli, kuwapa kesi wanaoanika ukweli, n.k.
Na hata pale kila kitu kinapokuwa wazi tunakimbilia...
Kwa majina kamili anaitwa JAKAYA MRISHO KIKWETE. Raisi wa awamu ya nne wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa Gen Z na kizazi cha sasa wasiopata kumtambia huyu mtu unaweza kupitia maelezo hapo...
Nimewaza:
Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri?
Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa...
Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka.
Kama watawala...
Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika.
Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna...
VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa...
“Kuna VITABIA vinavyofanana na MSAADA… lakini ni UTAPELI dhidi ya maisha yako.”
Havikupi faida.
Havikuongezei thamani.
Havikujengi.
Ni mianya ya kutolewa nguvu, pesa, muda, na akili bila kurudi...
Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu,
Wizara ya Afya na Wizara ya mambo...
I salute my kinsmen..
Ujue nimefikiria sana kuona kauli hizi za viongozi wa Bakwata kwa yanaoendelea kwa kumsapoti mkuu wa nchi wakati wenzao kule TEC wao wametoa tamko kali sana kuwa
Vijana...
Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030)...
Leo tupeane ushuhuda wa Tarehe 29 ilikukuta wapi, ilikuaje ulivyoshtuka watu wapo barabarani?Na jee kuna story gani za watu waliouliwa uliziskia ukashtuka au zilizokuhuzunisha?Kipi...
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa...
Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana.
Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.