Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HomeNews NEWS Tullow workers at a rig in Buliisa, Uganda. Uganda’s ministry of Energy will vet all foreigners for jobs in the oil and gas companies before they are hired, the petroleum...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Leo hii wakristo na waislam kwa namna moja au nyingine hawaelewan kias fulani kwasababu ya mambo yanayoendelea hapa Nchini. Nani alaumiwe?
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Sheikh Ponda akiwa anaongea kupitia Redio Imaan amesema waumini waliokamatwa katika kudai haki yao kwa kudhiaki Mtume Mohammed, Sheikh Ponda amamtadhalisha Kamanda Kova Kuwaachia waumini ambao...
1 Reactions
108 Replies
11K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hapa nchi nikijiuliza hasa chanzo cha hii migogoro ni nini, lakini nashtushwa na jamabo moja kuwa, hisia tulizonazo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
-Inaeleweka kwamba waislam wanamanung'uniko ya muda mrefu kwamba kuna "mfumo kristo" ndani ya Taifa hili, baadhi ya hoja zinazotumika kuthibitisha udini ni 1. Suala la kuondoa kipengele cha...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale school mates wote waliosoma hapa miaka ya 80s hadi 90s yule mwalimu wetu wa kiswahili.MWALIMU MEMBE. amefariki dunia na tayari ameshazikwa kijjn kwao Mnacho Lindi.RIP TEACHER
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Just before he died, Alexander convened his generals and told them his lastthree wishes:1 - That his coffin SHOULD BE carried on the shoulders and transported bythe best doctors of the time.2 -...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepita hapa polisi ufundi kuelekea Jitegemee. Nimekuta magari ya kuwasha manne yanajazwa mafuta pamoja na defender 6 ambazo zote zimejaa FFU. pia hapa jitegemee round about nimekutana na...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Naomba kuuliza hivi Ni sehemu gani hii serikali inakosea kwa hawa ndugu zetu waislamu?? Maana kinacho sikitisha nikuwa kumekuwepo na uvunjifu wa sheria mkubwa unaofanya na Hawa waislamu huku...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
The most difficult thing to define is Time. This dimension has left philosophers and scientists eluded over years. Can you provide a good definition of time ? (reference is allowed)
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Kumbukumbu zangu zinaonyesha niliacha kusoma gazeti la UHURU enzi ya katuni ya [COLOR=RED]Chakubanga...wangapi wanaikumbuka hii katuni.
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani anampangia rais wa JMTsafari za nchi za nje? kwa mtazamo wangu safari hizi hazina tija kwa nchi.Labda kama zina lenga kuwatajirisha watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumbukumbu zangu zinaonyesha niliacha kusoma gazeti la UHURU enzi ya katuni ya Chakubanga...wangapi wanaikumbuka hii katuni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WARAKA MAALUMU; RC Mulongo, usitafute mchawi hapa Ofisini kwetu kuhusu Idara zinazohusika na masuala ya Habari, uchawi umeukumbatia wewe mwenyewe sasa unalalamika nini. Juzi umelalamika kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Punch bado wapo?
0 Reactions
0 Replies
751 Views
whats up wana jf. nakaa mbal na access ya magazeti. tafadhal naomba mwenye uelewa wa namna ya kusoma magazet ya kila siku via internet anijuze tafadhali. je niingie kwenye web gani? ahsanteni
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Nko maeneo ya central police hali ni tete sana.. Kuna tension kubwa askari wametanda. Sijui kinachoendelea kwa kuwa nko ktk gari. Barabara imefungwa kuanzia hapa long room hadi water front...
1 Reactions
210 Replies
18K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Jumatano, Oktoba 17, 2012 09:28 *Asema Mwalimu alipofungwa bao hakula "Dokta Nchia", kama Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alivyopenda...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Imekua jambo la kawaida kusikia Waislam wakidai kukandamizwa na kile ambacho wao wanadai ni dhuluma kwao yani wakristu ndio chanzo cha kila (¡)ukosefu wa maharifa (¡)kuoa wanawake wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…