msaada wa namna ya kusoma magazet kirahisi online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa namna ya kusoma magazet kirahisi online

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukme, Oct 17, 2012.

 1. l

  lukme Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  whats up wana jf. nakaa mbal na access ya magazeti. tafadhal naomba mwenye uelewa wa namna ya kusoma magazet ya kila siku via internet anijuze tafadhali. je niingie kwenye web gani? ahsanteni
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  fikiria una ndugu zako wako kwenye makampuni ya magazeti wanakosa mshahara wanakupigia uwasaidie utawasaidiaje?kama wewe ndie unaitaji kununua unakimbili mtandao??
   
 3. M

  Maseto JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Jaribu hapa kuna baadhi ya magazeti: www.kicheko.com
   
 4. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We siuna google then unaandika gazeti ulitakalo,lakini hakuna haja ya kusoma magazeti kwani jf ndo baba yao.kama umeweza kufika humu jukwaan magazeti yanini sasa?istoshe gazeti lilikuaga mwanahalis pekee hayamengine waiz tupu
   
 5. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,073
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  subiri mwanahalisi tu ndugu yangu haya majarida mengine yako busy na uraisi
   
 6. Michael Mtitu

  Michael Mtitu Verified User

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Aliyekufundisha kutumia net mkumbushe akufundishe kutumia google, hapo ni kila kitu.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Google.jina la gazeti lolote unalipata kwa urahisi kbs.
   
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  majibu mengine unaogopa hata kuuliza!lol
   
 9. ICHUMBI

  ICHUMBI Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Utakoma kuuliza loh
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,271
  Trophy Points: 280
Loading...