Lini uliacha kununua gazeti la UHURU/MZALENDO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini uliacha kununua gazeti la UHURU/MZALENDO?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ziroseventytwo, Oct 18, 2012.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,559
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu zangu zinaonyesha niliacha kusoma gazeti la UHURU enzi ya katuni ya Chakubanga...wangapi wanaikumbuka hii katuni.
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  mimi sijawahi kulinunua maishani mwangu. Hata pale nilipokuwa mwanaCCM active, nilikuwa nanunua magazeti yanayoandika ukweli kama Mwananchi, Rai la wakati ule, Majira na nipashe. Uhuru sijawahi kabisa.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Nami niliacha kununua Mzalendo baada ya Makala za akina mar Yahya Buzaragi, mar Shimye Ahmed, mar Salim Bawazir, Chesi Mpilipili kutoweka kwenye gazeti hilo zaidi ya miaka 16 iliyopita!!! Toka kipindi hicho Sijapoteza Hela Yangu tena Kulinunua...!
   
Loading...