Sheikh Ponda aichimba mkwara serikali! Ataka 102 waliokamatwa waachiwe huru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda aichimba mkwara serikali! Ataka 102 waliokamatwa waachiwe huru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Oct 13, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sheikh Ponda akiwa anaongea kupitia Redio Imaan amesema waumini waliokamatwa katika kudai haki yao kwa kudhiaki Mtume Mohammed, Sheikh Ponda amamtadhalisha Kamanda Kova Kuwaachia waumini ambao hawana hatia kurudi majumbani kwao bila
  ya kudhuliwa na police

  SOurce: Redio Imaan


  Mytake;

  Kamanda Kova sikiliza kilio cha Sheikh Ponda Yatakukutaa!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,414
  Likes Received: 19,721
  Trophy Points: 280
  mwanaume ponda keshaongea ...lazima waachiwe tu. Nani anabisha? Historia inajielezea .... Flash back mkasa wa sensa
   
 3. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Hapo ndipo nitaelewa kama nchi hii inaongozwa/kutawaliwa kwa matamko au kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Daaah nadhani tutashuhudia vituko vingi sana kuelekea mwaka huu kwisha.
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ndio matokeo ya kucheka na nyani,lazima utavuna mabua tu!
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ponda na mamlaka kama waziri kamili wa serikali, ndio hivyo alivyozoezwa, aliamuru watu waandamane bosi NECTA aondoke na watu wakaandamana na hawakufanywa lolote, Mhe. Waziri Ponda, nahisi Ofisi yake ipo IKULU
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  who is ponda in this country?
  nadhani amri hii imetolewa na mdosi mkubwa serikalini kupitia kwa ponda
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  dah, hata maamuma anapiga biti siku hizi

  hivi yawezekana hata hajui kwanini wapo ndani
   
 9. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mwenye cv yake please
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona serikali yetu inaongozwa na waislam sio, wanajiamulia wanachotaka
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ponda kidume asikwambie mtu,keshatoa tamko hapo Kj,sele kova,na side boy mwema wanahaha,lazma watawaachia tu,mnajua Ponda au unamskia? Kwake hakuna wa kumchukulia hatua,sheria zote zko chini ya sandals zake
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kumbe ni KARATEKA? Ndo maana serikali inamwogopa,wanaogopa asije akawabutua
   
 13. a

  ambagae JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu Ponda Ni Rais wa Jamhuri ya wapi
   
 14. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ponda na Shekhe Ilunga walishasema katika majumuisho ya mihadhara pale Diamond Jubilee. Waislamu sasa si wakati wa kulalamika tena. Shughulika, sisi tutakuja kushughulikia yatokanayo baadaye. Kama ni kutoa mdhamana au kuwasiliana na wahusika. Kweli sasa nimejua alikuwa anamaanisha.
   
 15. a

  ambagae JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  E bwana we yeye Yuko juu ya Sheria. Basi huyo Ni Mdogo wake Mungu labda
   
 16. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  who is behind ponda?
   
 17. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio kesha sema.....
   
 18. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sasa serikali itafanyeje kama si kuwaachia, manake ijumaa ikifika timbwili lake baada ya swala ya alasiri ni nouma...hahahah
   
 19. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo Kauli ni ya JK mwenyewe kwa kupitia mgongo wa Ponda!!!
   
 20. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naomba mnielekeze anapokaa huyu Ponda.
   
Loading...