Mfumo kristu hoja inayoishi katika vichwa vya kislam.

Dachr

Senior Member
Aug 25, 2011
110
8
Imekua jambo la kawaida kusikia Waislam wakidai kukandamizwa na kile ambacho wao wanadai ni dhuluma kwao yani wakristu ndio chanzo cha kila
(¡)ukosefu wa maharifa
(¡)kuoa wanawake wengi
(¡¡)kupeleka madrasa watoto baada ya shule
Yani ikiwa na mahana kwamba ujinga wote uliokithiri kupita kiasi katika jamii zao ni Mfumo Kristu.Wakisaha kwamba wakati mkristo akikaza kupigani Elimu asinde zake wao wako bize na elimu ya aina moja(haera).
Katika imani kile unachokiamini ndicho ambacho hukutawala.Si kwamba taifa letu la Tanzania kuna kitu kinaitwa mfumo kristu,la hasha bali kika vichwa vya waislam ndani ya ubongo wao wametaliwa na mfumo chuki na ubinafsi maharifa finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.
Uwezo wa mtu ni mtu mwenye.Na utu waMtu ni utu wenyewe.Jifunzeni.
 
Back
Top Bottom