Wakati umefika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati umefika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bokango, Oct 18, 2012.

 1. b

  bokango New Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nionavyo mimi mheshimiwa JK atakapomaliza muda wake nafkiri mtu atakayeikomboa Tanzania kwa hali ya sasa ilipofikia bi Lowasa peke yake!!!
   
 2. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red ,, umekosea au umedhamiria?
   
 3. i

  iseesa JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu, Hapo kwenye red una maana REGINA au PAMELA?
   
 4. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Ngoja nipite tu maana makosa ni mengi sana.
   
 5. piper

  piper JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nyinyiemu tumewachoka
   
 6. K

  Kitanga Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lowassa, sijui kama atakuja na jipya sana. Mambo yanaharibu nchi ni yale ambayo CCM imekuwa ikiyanyamazia.
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mwizi hawezi kuwa na ubavu wa kukemea maovu kwani anajua watu wanajua madhambi yake. Katika hali kama hii huwezi kumkabidhi Lowassa nchi.
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Umekula chakula mchana huu?Maana njaa wakati mwingine hupelekea watu kuongea vitu visivyoeleweka.
   
 9. G

  Getekwe Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Raisi kichwa boga huyu, kwani mmesahau matokeo ya mtihani ya binti yake. like a father like a daughter.
   
 10. O

  Oremus Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona tuachane tu na hii CCM,kwasababu E. L ni mmoja wapo walio Mpitisha huyu VASCO-DAGAMAkwenye vikao vyao vya NEC na sasa tunayaona matokeo yake.Kwahiyo sidhani kama E.L atakuwa na jipya tena kwa Nchi ilipo fikia sasa
  By Oremus
   
Loading...