Ni wapi Serikali inapokosea kwa hawa Ndugu zetu Waislamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wapi Serikali inapokosea kwa hawa Ndugu zetu Waislamu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Oct 17, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Naomba kuuliza hivi Ni sehemu gani hii serikali inakosea kwa hawa ndugu zetu waislamu??
  Maana kinacho sikitisha nikuwa kumekuwepo na uvunjifu wa sheria mkubwa unaofanya na Hawa waislamu huku Serikali ikiwa inaangali sasa lakujiuliza Serikali inakosea wapi??Je nikuwa sikuzote wanaoonewa ni hawa waislamu pekee??Kwa nini Serikali haiwezi kuwachukulia hatua za kisheria?Wanachoma nyumba za ibada serikali ipo tu??Je serikali haioni tatizo lakulea hizi chokochoko nitatizo kubwa kwani Amani ikitoweka kuirudisha ni kazi kubwa?
  Twambieni nini tatiza la serikali na waislamu hapa nchini??
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Serikali inawaendekeza na wanajua fika ata wakichoma Ikulu hawawezi fungwa zaidi ya kukamatwa na kuwekwa lock up baadae watolewe
  Imagine mtunkama Ponda na wale wa uamsho wapo tuu wanapeta
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni Serikali yenyewe kwani imelala usingizi na inaogopa kuchukua hatua na hata inapotaka kuchukua hatua inakuwa tayari imechelewa.
   
 4. j

  jail JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yani ni malalamiko tu yani cjui Mungu wamwamini kila nchi walipo matatizo somalia ,sudan,syria,mombasa,nigeria,talibani etc kutokana na uzoef wa nchi hz hata unapata jibu
   
 5. A

  Anold JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  tatizo ni pale viongozi wa serikali wanaposhindwa kutofautisha ISHU NA POSITION
   
 6. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Siku wakichoma Ikulu ndo watajua madhara ya kukumbatia udini waache hata Rwanda ilianza taratibu kama hivi inavoanza Tanzania
   
 7. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mimi nahisi bangi na madawa ya kulevya ndo yanasababisha. Mimi sidhani kama mtu kweli kaenda shule anaweza fikiria waislaam wanaonewa. Dawa ya hawa nikuwachapa kabisa. Kila mtanzania afuate dini yake viginevyo kinachofuata....
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Inamaana wao hawatii sheria za nchi??Na kwanini wao kuandamana na kuwatishia polisi kuwa mtu wao aliyekamatwa aachiwe bila ya masharti yoyote je hii ni kukoswa nidhamu kwa mamlaka zilizopo?Na hii mimi naona ni serikali imelea hili jambo na wao wameona wanauwezo wakuwatikisa polisi!Natangu kuwaachilia wale waliokataa kuhesabiwa lile lilikuwa kosa sana!
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu KakaKiiza ukiwaza sana haya utapata uchizi bureeee,
  ngoja nkwambie wenzetu kwanza jihad ni sehem ya mafudishio yao na ni kwa mujibu wa imani yao sasa je wadhan kwa hali hii wataweza kutulia? ukiangalia haya mapinduzi ya kiislam na mapigano yao yameshika kasi kweli almost kwenye nchi nyingi sana za kiafrika. Uzuri sisi tunabahati hatuko huko OIC sasa subiri tujiunge utaona angalia sehem kama zanzibar kwasababu ya mahakama za kadhi na kuwa miongoni mwa OIC cheki upumbavu wao alwayz wako arrogant and to them killing ni kawaida kabisa eti wanamtetea Mungu sijui Mungu waaina gani anayehitaj kutetewa na bnadamu.

  tatizo ni kwamba uislam umeshikilia sheria za kityahudi ambazo ni za upanga, ningewasihi sasa wabadilike kimtazamo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. A

  African Tycoon New Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa kwa sasa ni Serikali chini ya rais Kikwete kuwa na muelekeo wa ki- dini.
  Ndiyo maana hata hao waislaam hawaogopi kufanya huo UJINGA!!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Hizi vurugu za waislamu zitaendelea mpaka lini??Nini mwisho wake?Wapi serikali inakosea??Enzi ya mwalimu mbona hapakuwepo huu upuu
   
 12. G

  Getekwe Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Raisi mwenyewe anapenda udini, ndio maana hata uteuzi wake wa viongozi umejaa udini. Siku wakritu na sisi tukiamua kuvunja ukimya kitaeleweka. naona 2015 mbali bora atoke mapema kabla nchi haijatapakaa damu.
   
Loading...