Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anaruhusu upande mmoja tu, tushakaa sana hapa. Polisi waelewe saa hizi kila mmoja wetu anawahi viwanja.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kuna huyu jamaa anafuka Star Tv, yaani huyu jamaa anadanganya vibaya mno hivi kwa nini serikali inaruhusu watu waendelee kuwapoteza watu wataabike mwisho anakuja hospital amezidiwa kiasi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimekuwa nikizungumzia unafiki wa Watanganyika yanapotokea masuala yanayofanana kwenye pande tofauti. Tumezungumza sana kuhusu maandamano, wengine wakiyasapoti kwa kusema kuwa ni njia ya mnyonge...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Global warming has hit particularly hard Tanzania’s national parks, threatening displacing millions of wildlife and putting the thriving tourism at risk. Owing to global warming, currently...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hiv sas ukipita morogoro road utakuta ujenzi wa barabara ukiendelea, swali langu je ni kweli kuwa mradi huu utaondoa tatizo la foleni jijini dar? Mimi nafikiri sehemu za makutano ya barabara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali isiyotarajiwa mtoto mdogo umri 10 aliona mfuko wa plastik kwenye uzio wa michongoma, na kuuchunguza akakuta ni bomu na kutoa taarifa kwa majirani ambao walitoa taarifa polisi, polisi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Timu ya Obama ni ya watu wanaoamini to be gay is ok,abortion is ok,serikali Ina power ya maisha yako ,Kama una deni endeLea kukopa ,na ni raisi wa kwanza mweusi umpe nafasi, Napia mungu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
aNngalia mwenyewe. mimi sina comment :A S 12: MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture :A S 12::israel: First Name: William Middle Name: Vangimembe Last...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mon, Nov 5th, 2012 Tanzania | Child labour joint survey has revealed that a total of 1248 children from Unguja and Pemba Islands have dropped out of schools due to several reasons including...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Tujadili ni mambo gani ya msingi yanatakiwa yawepo au yasiwepo kwenye katiba mpya?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kauli tata 3 zimetoka midomoni mwa viongozi wa CUF kwa nyakati tofauti, zinaniacha njia panda nashindwa kuelewa kama ni mwisho wa upeo wao wa kufikiri au wana agenda nyingine nyuma ya kauli...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Jana nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari nikamsikia Prof. Anasema serikali inatakiwa kuingilia kati suala la waisilamu iongee na maimamu na wote wanaohusika na migogoro waitatue na kuhusu Ponda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kumekuwa na upotoshaji wa maksudi kwamba wasiokuwa waislam ni wakristo na wasiokiwa wakristo ni waslam! Hii si kweli wapo ambao si wakristo wala waislam na ni wengi tu kwa bahati mbaya si rahisi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau embu 2saidiane, kumbe U.S.A kura za wananchi haziwezi kumpa urais moja kwa moja aliyeshnda? Bal rais anashnda kutokana na kura za wawakilish kutoka majimbo mbalimbali. Kura za raia kaz ake n...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo tarehe 5 Novemba nimepata kuliangalia gazeti la Mwananchi na katika kupepesa macho nimeona yafuatayo katika habari picha katika ukurasa wa mbele na kitaifa zilizopewa uzito katika gazeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muheshimiwa Nape Nnauye amelalamikia mitandao ya kijamii na kudai CHADEMA ndio inawafundisha vijana kufanya siasa za matusi katika mitandao. "Kuna wakati natamani kushiriki mijadala pamoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Inatia huzuni kuona chama kikongwe kama CCM kushindwa kusimamia maamuzi dhabiti ya vikao halali vya chama kiasi cha kukosa haiba na mvuto mbele ya wananchi.Imekuwa ni desturi ya chama hiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadada wa uhazili wanakutana Jolly Club hili ni tangazo lao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TRA walianzisha ulipaji kodi kwa mfumo wa mashine. Lakini wafanya biashara wengi wanaiibia serikali kwa kukwepa kuzitumia mashine hizo. Binafsi nimeshuhudia ktk maduka, vituo vya mafuta ya gari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…